Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Noma kweli 😍noma sana![]()
Noma kweli 😍noma sana![]()
Ennhe ....😳😳😳😳🤒🤒🤒 Kumbe.. mnainjoi weeknd namna hiyo sio....
Mchukue chakorii akupeleke sehemu flani hivi😁🙌🙌 utainjoi zaidi..Ennhe ....
Siendi kokote..Niko na Heineken zangu kadhaa Kwa refrigerator zikiendelea kunena Kwa lugha + musicAcha kumdanganya mwenzak... Na unajua ukishashiba unaenda mtoko..😇😇😇👏
Siku ya leo nimeamua kupumzika nyumbaniMchukue chakorii akupeleke sehemu flani hivi😁🙌🙌 utainjoi zaidi..
Siendi kokote..Niko na Heineken zangu kadhaa Kwa refrigerator zikiendelea kunena Kwa lugha + music
Jumapili tulivu kabisa na watu tuwapendao 🥰🥰👏👏👏👏👏 Nimeipende hiyoo.. kichwa hakina mambo mengi.. una injoi namna hiyo
Nafurah sikia hivo... Na jipili ndo hyoo inaishia😁😁Jumapili tulivu kabisa na watu tuwapendao 🥰🥰
Na inaisha taratiiiiiibu kabisa yan🥰🥰Nafurah sikia hivo... Na jipili ndo hyoo inaishia😁😁
Wee toka jana unainjoi... Nilikua na kuzoom tuu🤣🤣🤣 that why nasema hunaga mambo mengi etNa inaisha taratiiiiiibu kabisa yan🥰🥰
😅😅Imebidi nirudi kwenye comments zote niangalie jana ni wapi nilikuwa naenjoiWee toka jana unainjoi... Nilikua na kuzoom tuu🤣🤣🤣 that why nasema hunaga mambo mengi et
ndo yupi huyoMtoto wa gomz.....🤨🤨
Hapo msosi kwanza then bia😅Huko angani hawana bia jamani🥺
Huyu huyu🤣🤣 wee humjui kweli..?ndo yupi huyo
Hivi wee jana ulishinda humu tuuu🤣🤣🤣🤣🤝🤝🤝😅😅Imebidi nirudi kwenye comments zote niangalie jana ni wapi nilikuwa naenjoi
Jana nilishinda humu humu chifu😅😅utakuwa umefananisha miandiko 😆😆Hivi wee jana ulishinda humu tuuu🤣🤣🤣🤣🤝🤝🤝
simfahamuHuyu huyu🤣🤣 wee humjui kweli..?
Aaaaaaaah kwel miandiko yenu inafanana nilikufananisha na ____🙏🙏🙏🙏.Jana nilishinda humu humu chifu😅😅utakuwa umefananisha miandiko 😆😆
🤣🤣🤣🤣🤣 Unamkataa kabisa wakati huko upo temporary tuu... oky utakuja uje.. then tuku show sisi watt wa gomz🤒🤒simfahamu
Leo nipo ushuani kwa hiyo si yule wa jana . 🤣🤣🤣