Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Nyie wengine mmeshakula chakula cha Bwana churchSi wengine 😢😢😢😢
Nyie wengine mmeshakula chakula cha Bwana churchSi wengine 😢😢😢😢
Umefaudu aise
😊😊Mbona haraka hivo..🥱🥱🥱
🤣🤣🤣🤣🤣 Uchoyo huo...🙌🙌Nyie wengine mmeshakula chakula cha Bwana church
Karibu tufaidi wote.Umefaudu aise
Una mtoko nini...😁
😁😁 nimetulia tu leoUna mtoko nini...😁
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Utakosa vitu vitamu... Nakushauri tuu ka kukalibisha basi fanya kwa wote.. 😋😋😋😋😋
Nikajua unatuaga...🤣🤣🤣 So leo weekend vibee hamna kabisa...😢😢😁😁 nimetulia tu leo
Vitu vitamu mimi mwenyewe ninavyo 😂😂😂😂Siwezi kosa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Utakosa vitu vitamu... Nakushauri tuu ka kukalibisha basi fanya kwa wote.. 😋😋😋😋😋
Hakuna vibe linaishia kitandani 😊😊Nikajua unatuaga...🤣🤣🤣 So leo weekend vibee hamna kabisa...😢😢
Kama mimi tu😅😅Hakuna vibe linaishia kitandani 😊😊
🤣🤣🤣🤣🤣 Hivo vitamu ndo vinakufanya uwe na hiyo jeuri ya kuchagua chagua et😇😇Vitu vitamu mimi mwenyewe ninavyo 😂😂😂😂Siwezi kosa
🤣🤣🤣🤣🤣 Huchoki sasa hapo kitandani...🏃🏃Hakuna vibe linaishia kitandani 😊😊
Ndio starehe yangu sichokagii ☺☺🤣🤣🤣🤣🤣 Huchoki sasa hapo kitandani...🏃🏃
Acha kumdanganya mwenzak... Na unajua ukishashiba unaenda mtoko..😇😇😇👏Kama mimi tu😅😅
😳😳😳😳🤒🤒🤒 Kumbe.. mnainjoi weeknd namna hiyo sio....Ndio starehe yangu sichokagii ☺☺