Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,423
- 54,876
😳😳😳😳😳😳Kumbe inabidi niwe serious et... Oky wee una ushauri mzuri sana🤣🤣Mantah hofu pua 🧠 tonnia dada yangu sifa yake kuu ni upole na uvumivu ukimpata utafaidi sana na yale mahips yake.
😳😳😳😳😳😳Kumbe inabidi niwe serious et... Oky wee una ushauri mzuri sana🤣🤣Mantah hofu pua 🧠 tonnia dada yangu sifa yake kuu ni upole na uvumivu ukimpata utafaidi sana na yale mahips yake.
Embe,parachichi,pasheni na tangawizi.Hiyo juice ya nanasi au miwa...??
Poker lile ombi langu bado hujakubali tu jamani
Duuuh daku =🍛🍛🍲🍲daku ndo nn ?
Mtengenezaji ni nani huyo...??👏Embe,parachichi,pasheni na tangawizi.
Mmhh mbona haiendaniDuuuh daku =🍛🍛🍲🍲
Dada bintiMtengenezaji ni nani huyo...??👏
Ombi la nini umuundu!Poker lile ombi langu bado hujakubali tu jamani
La kukutakaOmbi la nini umuundu!
pole , natumai umepata dawaAmeeen
Nina kihoma hapa nakula kwa mbinde
Ulisema wee kula mpaka mida ileeee... Ndo mida hii vipi umekula🤒🤒🤒🤒Mmhh mbona haiendani
Nimezitafuta baada ya kubanwa sana😂pole , natumai umepata dawa
get well soon .
Nimeona hapo kazidisha tangawizi🤒🤒😃😃🤣🤣Dada binti
una mafua pia ?Nimezitafuta baada ya kubanwa sana😂
Leo imekuaje sasa.... Au ndo ..... Mambo mengi😇Leo nimekula late for the first time ..
njaa imeniuma , nishazoea kula saa moja au mbili Kama boslady .
Na wewe pia dada wakulike comment za miaka sabini.
Wiki ijayo ntakuwa hapo matema beach na mumeo Wigelekelo tajiri ngosha ng'wana ya shimba!La kukutaka
I hope nitaenjoy kuogelea na weweWiki ijayo ntakuwa hapo matema beach na mumeo Wigelekelo tajiri ngosha ng'wana ya shimba!
Hapanauna mafua pia ?