Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,425
- 54,887
Ndo mana hutabiliki ... Wala huambiliki et..kichwa kina mambo mengi....Jana nimechelewa ..
Mambo mengi usiku si wajua .
Ndo mana hutabiliki ... Wala huambiliki et..kichwa kina mambo mengi....Jana nimechelewa ..
Mambo mengi usiku si wajua .
Kawaida sana mbona!! tena leo nimechelewa...... Nishavimbiwa zangu hapaaaa 😴😴 Poor Brain Tinsley et al.. enjoy your chat guys tomorrow is another day!!😘😘✌️✌️😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴Wewe ulale sasahivi?
Wee Na giza hilo utaenda wapi sasa???
uoga sio pia🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Jamn weeeeh
Ah wapiKawaida sana mbona!! tena leo nimechelewa...... Nishavimbiwa zangu hapaaaaPoor Brain Tinsley et al.. enjoy your chat guys tomorrow is another day!!
![]()
hahahNdo mana hutabiliki ... Wala huambiliki et..kichwa kina mambo mengi....
Hizi si 50 alufu tu😁🙌Shauri yako... Utapishana na gari ya mshahara uju0
Unaonekana tuu mambo mengi... Afu mda mchache...🤣🤣🤣 Na bado wa uswazii weeeehhahah
hakina hata mambo mengi sema unajikuta tu uoo macho .
Mambo mengi kisa nini ?Unaonekana tuu mambo mengi... Afu mda mchache...🤣🤣🤣 Na bado wa uswazii weeeeh
Mawazo haya nayoyajua mimi au mawazo ya nini...?😃😃🤕🤕Mambo mengi kisa nini ?
Kama ni mawazo sawa ila sio vingine .
hayo unayajua weweMawazo haya nayoyajua mimi au mawazo ya nini...?😃😃🤕🤕
Mbona ka sitaki kuamini hivi 😥😥😥hayo unayajua wewe
yananichanganya
Amini tu nduguMbona ka sitaki kuamini hivi 😥😥😥
Inategemea lakini.. kuna stress zingine hapana kwa kweli...Amini tu ndugu
stress ni part ya maisha
Sasa tutafanyaje ..na ni part ya maishaInategemea lakini.. kuna stress zingine hapana kwa kweli...
Yanaepukika bana.... Tena vizuri tuu🤏🤏 sema so poa.. sii tuna skip tuu🤣🤣Sasa tutafanyaje ..na ni part ya maisha
mna skip nini ??Yanaepukika bana.... Tena vizuri tuu🤏🤏 sema so poa.. sii tuna skip tuu🤣🤣
Mambise_liquor_store.☺️☺️☺️✌️✌️✌️✌️✌️