Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
wanawahi haoHapa Junia keshasinziaa amemaliza kula tu kasinzia
junia yupo vizuri
wanawahi haoHapa Junia keshasinziaa amemaliza kula tu kasinzia
Ooh AmenMungu ni mwema sana nyanda za juu kusini
Unalalaje sa hivi i... Hata junior bhad ajalala sa hivi...🤣🤣Nibless Selfii yako nirare vizuree jamani!!!!
Bata batani.. enjoy
Unasaport tuu..👍👍Nakuelewa hapo mie nachelewa kidogo.
ukishiba tu ni usingizi
Ooh Amen
Mama pasta .

Poleni sis!! Umeme ushakua shida sikuhizi yanii
Umehakikisha imekaushwa vizuri..🤣🤣🤣
Wapi huko🤣👍Yani huku pako kimya kuna giza hata mbwa sisikii kuna giza moja matata
Hapo ni kujifungia tu Ndani!!Yani huku pako kimya kuna giza hata mbwa sisikii kuna giza moja matata
Wee keshasinziaa kitraaamboooo!! Nasikia UsingiziUnalalaje sa hivi i... Hata junior bhad ajalala sa hivi...🤣🤣
Unasaport tuu..👍👍
Wote sio waoga ka wewe🤣🤣🤣Hapo ni kujifungia tu Ndani!!
Inatisha ccy juzi kuna mtu katekwa wamebabua vby mno wakambomoa meno nane ilikua giza ni mtaani kwao na sister anguHapo ni kujifungia tu Ndani!!
Wee Na giza hilo utaenda wapi sasa???Wote sio waoga ka wewe🤣🤣🤣
MwanzaWapi huko🤣👍
Poor Brain kwa staili hii watu wasiogope tu?? WeeeeeeeehhhInatisha ccy juzi kuna mtu katekwa wamebabua vby mno wakambomoa meno nane ilikua giza ni mtaani kwao na sister angu
😊Poor Brain kwa staili hii watu wasiogope tu?? Weeeeeeeehhh