Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Uliza MkuuKwanini ngumu... Nikuulize kitu.😇😇😇
Uliza MkuuKwanini ngumu... Nikuulize kitu.😇😇😇
Kiufupi usiwe na wasi wasi na mimi poker... Pia mi sio manfongo wala mandonga🤣🤣🤣🤣🤣🤣 najua hali uliyonayo hivo tapunguza mazoea🤣🤣🤣🤣🤣🤝🤝🤝🤝🤝Angalia bana maana nakuona umembananisha sana shemeji yako nina wivuu balaa 😠
Unajipenda..?Uliza Mkuu
Yes I doUnajipenda..?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Daah nzuriiii hiyoo...... Amelala sa hivi nahisi anaota kabisa😴😴Nakukubali sana tajiri wangu vp bebi wako Antonnia amelala?
Sasa unapataje stress... Huwezi pata stress if unajipenda... Ukiona unapata stress basi jua umejipunguzia upendo... ( Sio stress za $$$$)Yes I do
Maisha yalinivuruga , ndo narudi sasaSasa unapataje stress... Huwezi pata stress if unajipenda... Ukiona unapata stress basi jua umejipunguzia upendo... ( Sio stress za $$$$)
Pole... Mungu ni mwema sana pia usichoke kumuomba na atakua na wewe always...Maisha yalinivuruga , ndo narudi sasa
Mungu mwema
"""humble na charming"" nashindwaje kumpenda kwa mfano.. kwa sifa kama hizi🤣🤣🤣🤣🤣 ila mwambie ndugu yetu yule mwa... Aache makasiliko 🤣🤣🤣🤝🤝🤝🤝Mpende sana dada yangu Antonnia she's so humble na charming.
Thank you ChiefPole... Mungu ni mwema sana pia usichoke kumuomba na atakua na wewe always...
Nani huyo anakuzibia rizki yako kwa tonnia mtaje hapa usiogope maana dada yangu hana mtu zaidi yako Poor Brain 🧠"""humble na charming"" nashindwaje kumpenda kwa mfano.. kwa sifa kama hizi🤣🤣🤣🤣🤣 ila mwambie ndugu yetu yule mwa... Aache makasiliko 🤣🤣🤣🤝🤝🤝🤝
Atakuja hapa afu takuita ukuje... Yaan ananitishia amani kabisa🙌🤒🤒📌 kumbe kaka mtu upo hapa...Nani huyo anakuzibia rizki yako kwa tonnia mtaje hapa usiogope maana dada yangu hana mtu zaidi yako Poor Brain 🧠
👍👍👍 Hapo utakua strong-stronger-strongest 😃😃😃 na ukiwa hivo mi takupa zawadi(tuzo)Thank you Chief
nitazidi kumtumainia Mungu manaa anaweza
Amen thank you👍👍👍 Hapo utakua strong-stronger-strongest 😃😃😃 na ukiwa hivo mi takupa zawadi(tuzo)
Mantah hofu pua 🧠 tonnia dada yangu sifa yake kuu ni upole na uvumivu ukimpata utafaidi sana na yale mahips yake.Atakuja hapa afu takuita ukuje... Yaan ananitishia amani kabisa🙌🤒🤒📌 kumbe kaka mtu upo hapa...
Usije sahau mambo muhimu sasa.... Au bado daku 😃😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣Amen thank you
working on that .
Nimekupikia wewe PokerWigelekelo naona leo umepikiwa kitu cha wali maharage utashiba lakini bila kaugali kidogo? 😆
daku ndo nn ?Usije sahau mambo muhimu sasa.... Au bado daku 😃😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣