Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,200
Ziro brain is utumie Id yako Kongwe lakini!! Utaselfika sa ngapi vilee??😁 kwako Poor BrainKitaa cha wapi hicho... Then tukuambie ni uswahilini au ni ushuani...
Ziro brain is utumie Id yako Kongwe lakini!! Utaselfika sa ngapi vilee??😁 kwako Poor BrainKitaa cha wapi hicho... Then tukuambie ni uswahilini au ni ushuani...
Yeahhh...Ya kesho ni saa ngapi kwani sitaki kupitwaa!yes dear
Tena uzuri ni weekend kesho
Huko ndo nyumbaniKitaa cha wapi hicho... Then tukuambie ni uswahilini au ni ushuani...
Kabla ajasinzia.. itabidi nimsomee hadithi..📌📌Bado... Anamalizia kula akimaliza tu hapaa atasinzia muda si mrefu!!
🤣🤣🤣 Wapi wewe... Alafu si wa uswahilini tusemeje...Huko ndo nyumbani
niaamini mimi 😂
Yeahhh...Ya kesho ni saa ngapi kwani sitaki kupitwaa!
Kha , Gomz ndo nimezaliwa🤣🤣🤣 Wapi wewe... Alafu si wa uswahilini tusemeje...
Kabisa atafurahi mnooooooo! Kesho akitaka kulala hatalala hadi asikize hadithi tena!!Kabla ajasinzia.. itabidi nimsomee hadithi..📌📌
Aaaaaaahh ila sioo sanaaa uswahilini..😁😁😁😁Kha , Gomz ndo nimezaliwa
Ndo uswahilini lakini 😂.Aaaaaaahh ila sioo sanaaa uswahilini..😁😁😁😁
Wabheja sana!! kesho mapemaaaa nishaivishaa!!Saa moja dear ndo inaanza hiyo
Kipaji hicho ninacho hvyo hapa tuu.. atafurahi kuanzia leo tarehe 19/2022 bureee🤣🤣😁🤝🤝Kabisa atafurahi mnooooooo! Kesho akitaka kulala hatalala hadi asikize hadithi tena!!
😍😍Wabheja sana!! kesho mapemaaaa nishaivishaa!!
Yaaah rout itakua hivi... Kisewe-msongora-mvuti-chanika-gomz chap kwaaa... 🏃🏃🏃🏃🏃Ndo uswahilini lakini 😂.
karibu .
☺️☺️☺️✌️✌️✌️✌️✌️Kabisa atafurahi mnooooooo! Kesho akitaka kulala hatalala hadi asikize hadithi tena!!
Iiiigggweeeeeeeeeeeeeeee 💃💃💃💃💃!!Kipaji hicho ninacho hvyo hapa tuu.. atafurahi kuanzia leo tarehe 19/2022 bureee🤣🤣😁🤝🤝
Kumbe Poor brain niwewe mjomba!!🤔🤔😁😁😁!☺️☺️☺️✌️✌️✌️✌️✌️
Ewaaah umepatia kabisaYaaah rout itakua hivi... Kisewe-msongora-mvuti-chanika-gomz chap kwaaa... 🏃🏃🏃🏃🏃
We kweli wa uswazi aiseeeee... Yaan hapa karoho safiii... 🤝🤝🤝 Sasa nakuletea bidhaa za uswazi 😁😁😁Ewaaah umepatia kabisa
mji mdogo huu .
unazunguka tu sehemu
pia Kuna mbagala , fremu kumi-kivule - banana - Gomz
Nafurahi pia kuona wewe na junior mna furaha... 🤣🤣🤣 Ukiacha hadithi kuna kingine cha kuongezea hapo..?Iiiigggweeeeeeeeeeeeeeee 💃💃💃💃💃!!
Wabheja sana mkuu will be so happy!!!