National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,199
Acha wogaVile niko slow leaner sasa
Acha wogaVile niko slow leaner sasa
Yaaah napaskia tuu... Si mbagala hiyoAsante
Okay , Unapafahamu mgeni nani ?
Yeah mitaa hiyoYaaah napaskia tuu... Si mbagala hiyo
Mbagala.... Alafu kuwe kumetulia... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 MybeYeah mitaa hiyo
Kumetulia sana huko
Ndio pametuliaMbagala.... Alafu kuwe kumetulia... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mybe
Ndio.. au ndo ulipo mbna kaa unajaribu kupasafisha hivi🤣🤣🤣🤣Ndio pametulia
kwani Kijichi si ni Mbagala pia
Ni sehemu nayoipenda ukanda ule .Ndio.. au ndo ulipo mbna kaa unajaribu kupasafisha hivi🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 Wakuzaliwa uswahilini tunajuana kwa code zetu... We hapana hupawezi...Ni sehemu nayoipenda ukanda ule .
mie nimezaliwa uswahilini hivyo sina tatizo kabisa kukaa hata Buza .
na mimi nikiwemo🤣🤣🤣 Wakuzaliwa uswahilini tunajuana kwa code zetu... We hapana hupawezi...
Mada gani!!??Ahahahhhahah 🤣🤣 dah kwa sauti kabisa nimecheka..... Ile mada ya mshana kule inakuhusu...
Ngoja tuone! Kesho kuna team Gani??Team Argentina mie
ngoja ukianza ... tutaona .
🤣🤣🤣🤣 Wee hapana kabisa an mbona kichwa changu akitaki kukubali kuwa wewe ni wa uswahilini...na mimi nikiwemo
karibu kitaa kwetu , upate miguu ya kuku
Nimecheki Google hapoNgoja tuone! Kesho kuna team Gani??
Qatar Qatar | |
| Ecuador Ecuador |
Ngoja niitafute... 🤣🤣 Na kashalala juniorMada gani!!??
Nimezaliwa kitaa kabisa ..🤣🤣🤣🤣 Wee hapana kabisa an mbona kichwa changu akitaki kukubali kuwa wewe ni wa uswahilini...
Okay wenyeji wanaanzaa kumbe!! ngoja tuoneNimecheki Google hapo
Qatar
QatarEcuador
Ecuador
Nimezaliwa kitaa kabisa ..🤣🤣🤣🤣 Wee hapana kabisa an mbona kichwa changu akitaki kukubali kuwa wewe ni wa uswahilini...
Kitaa cha wapi hicho... Then tukuambie ni uswahilini au ni ushuani...Nimezaliwa kitaa kabisa ..
sema tu ndo hivyo .
kitaa kimenilea
Bado... Anamalizia kula akimaliza tu hapaa atasinzia muda si mrefu!!Ngoja niitafute... 🤣🤣 Na kashalala junior
yes dearOkay wenyeji wanaanzaa kumbe!! ngoja tuone