π π π akiona avatar hawezi amini kama ni mie, au ule uandishi pia hawezi amini kama ni mimi.. nikimaliza tumia jf huwa nafuta kila kitu.. Siku labda nijisahahu ku log out na kufuta hapo ndio itabidi niandae utetezi, ingawa nishapinga namuambia hiyo account ya kazi π€£π€£π€£