Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Etiiii nyie 😂😂😂 Rumaiya Antonnia
24153E9D-1384-4054-A68B-377C19E15F24.jpeg
 
Nikatoe 15k mlimani city kwani mm mwanamke? [emoji16]View attachment 2419542

[emoji23][emoji23][emoji23] Screen kubwa na sound effects za maana ila mle viti vinanuka uvundo balaa, ukiwasha taa uangalie vileviti ile rangi yake Nyekundu imebadilika na kuwa nyeusi sijui majasho ya watu yale [emoji41]
 
🤣🤣🤣
 
😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Mi saizi ya Kati banaaaa mbona nabebeka vizuree tyu mbonaa,🤣🤣🤣😂😂😂!!
Umenikumbusha SYB alisemaga mabonge yakideka yakasusa yanajitupa chini pwaahh🤣🤣🤣🤣
Ukizidi kg 70 we bonge na marufuku kudeka😂😂
 
Back
Top Bottom