Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,769
- 58,341
Acha ubahili wewe 🤣🤣🤣Imeisha hyo
Acha ubahili wewe 🤣🤣🤣Imeisha hyo
Wapi hukoooHuku ishanyeshaa hadi kerooo
Mlenda wa marage 😋😋😋😋
Huku Nyakibimbirii!Wapi hukooo
Jina hilo🤣🤣🤣🤣🤣Huku Nyakibimbirii!
NdoigeKiduka cha mama mangiView attachment 2419563
Nimemiss Moroooo balaaaa! Huku tangu nije sijawahi pika mlenda kabisaaaa lol ngoja kesho nipike wa msusa na bamia!Mlenda wa marage 😋😋😋😋
Utakufwa🤣🤣🤣🤣🤣
Jua? Hapa kuna manyunyu hatari
Msusa ile mboga ambayo ina michanga😁😁😁😁Nimemiss Moroooo balaaaa! Huku tangu nije sijawahi pika mlenda kabisaaaa lol ngoja kesho nipike wa msusa na bamia!
Utakufwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ubahili is a very strong word,,, napenda kuuita improvisationAcha ubahili wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na jua hili... Utajua tuuHaiwezi sababisha hiyo [emoji16]
Na jua hili... Utajua tuu
Kwani wee una tumbo au soksi🤣🤣🤣Ugali mdogo sana jamani sa tutashibaje 🤭
Usipouosha vizuri labda!!Msusa ile mboga ambayo ina michanga😁😁😁😁
Sijawah kula msusa ambao hauna asili ya mchanga mchanga.....Usipouosha vizuri labda!!
Sijawah kula msusa ambao hauna asili ya mchanga mchanga.....
Wanakua hawauoshi / kuuandaa vizuri!Sijawah kula msusa ambao hauna asili ya mchanga mchanga.....
Ukute mboga yenyew majani yake yana michanga kwa ndani🤣🤣🤣🙌🙌Wanakua hawauoshi / kuuandaa vizuri!
Michanga kwa ndani??? Hapana bana shida itakua kwenye kuuandaa!!Ukute mboga yenyew majani yake yana michanga kwa ndani🤣🤣🤣🙌🙌