Page 94
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 5,202
- 15,231
Njoo kuleEm selfika kwanza mubaba wewe
Njoo kuleEm selfika kwanza mubaba wewe
Sikuhiz kutumia dawa ni ushamba
Yeah zinafanya kazi..ila zikiisha utajua hujui😂😂
Pesa ndogo tu inatosha kuleta furaha ili mradi mtimize mahitaji muhimu Mkuu .Naneee kasema kunakuwa na furaha na amani mahala pasipo na hela 🙄🙄🙄 thobotooo.. Pesa ni jawabu la mambo yote
Sikuhiz kutumia dawa ni ushamba
Chuntamaaaaaa
Acha nikajaribu kupeleka list yangu maana haiwezekani ninyanyasike wakati kuna plan F 😅😅Yeah zinafanya kazi..ila zikiisha utajua hujui😂😂
😂😂😂😂KwakweliNiko kwenye utalii wa ndani 🤣🤣
Yakikukuta mambo at your own risk braza😂Acha nikajaribu kupeleka list yangu maana haiwezekani ninyanyasike wakati kuna plan F 😅😅
🙄🙄🙄 Mnanitisha tena, nitaishije sasa bila mpenzi na mie, hata njiwa ana bebi wake dahYakikukuta mambo at your own risk braza😂
Okra is so sweet!!?Ukweli na usemwe
Okra is always sweet
Ukipikia kwenye dagaa au mlenda
Hela unazo? Au unataka mpenzi umpaushe mtoto wa watu🙄🙄🙄 Mnanitisha tena, nitaishije sasa bila mpenzi na mie, hata njiwa ana bebi wake dah
Siku ukinikaribisha kwako nitakuja nayo nikupe.Naomba hiyo pensi, hainitoshi?