Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Vijana wachangamke na wao .Eneseketesha sanaaa 😭😭😭😭
😂😂..kwahilo hitaji lako labda uende koreaUshunguuu sanaaaa, hivi uturuki hawana masindano na mie kama mubaba 😔😔
Tuchangamke hatuna hela 😭😭😭Vijana wachangamke na wao .
Hela yenyewe ya Korea inatokea wapi basi.. acha muendeleee kuwa mama zetu, mashemeji na dada zetu 😭😭😭😂😂..kwahilo hitaji lako labda uende korea
Njoo PM DWababa wanawaminyia vijana
Changamkeni hivyoTuchangamke hatuna hela 😭😭😭
Murembooooo❤️❤️❤️❤️❤️😍😍😍😍! Lippsss lipssssss Jicho jichooo 👌😘
Changamkeni hivyo
hela si muhimu sana .. upendo tu inatosha.
Mama yake na Poker huyo ni fire.. Dah! Mbaba anafaidi
Endiwooooo Bwana😂😂Murembooooo❤️❤️❤️❤️❤️😍😍😍😍! Lippsss lipssssss Jicho jichooo 👌😘
Nani kakudanganya hela sio muhimu, mtakufa njaa na hizo akili za kwamba hela sio muhimu, achaneni na hizo hadithi za shida na raha 🤣🤣🤣Changamkeni hivyo
hela si muhimu sana .. upendo tu inatosha.
Ilikuwaje nikazaliwa 2006 😭😭😭 mama na baba walinihujumuuu tuuEndiwooooo Bwana😂😂
Ahsante dear 😍😘🤗
🤣🤣🤣Nani kakudanganya hela sio muhimu, mtakufa njaa na hizo akili za kwamba hela sio muhimu, achaneni na hizo hadithi za shida na raha 🤣🤣🤣
Kuna nn tena?Mapenzi yataniua (yatanikill)
Bora nitafute pesa nianze jishaua
(Niwe happy now)
Mi mahaba yataniua (yatani kill)
Bora nitafute pese nianze jishaua
Nikizipata ni
Mitungi mitungi mitungi
Mitungi mitungi mitungi
Mitungi mitu tu
Mitungi mitungi mitungi
Mitungi mitungi mitungi
Mitungi mitungi
Gharama mapenzi gharama
Utachukia ndugu marafiki ugomvi na mama
Gharama mapenzi gharama
Na nidonda sugu halitibiki ukishazama
Hadi we, hadi we
Hadi we, hadi wewe
Antonnia
Depal
To yeye
Darlin
sophy27
Lenie 😬😬😬
Eneseketesha tu 😢Kuna nn tena?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mbavu zangu NA...khaaa!!..sa itakuaje😜..tuwashtaki au uendelee kula kwa macho😂😂Ilikuwaje nikazaliwa 2006 😭😭😭 mama na baba walinihujumuuu tuu
Hamnaga hizo mambo, ndio maana mapenzi ya watu hayana furaha.. Kwa hizi semi zenu za hela mtapata mbeleni, mkizikosa je?🤣🤣🤣
Hahahaha jamani si nawapa faraja
muwafute tu hao warembo
pesa itakuja huko mbele