Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,226
Umeanza 😁Njoo PM D
Umeanza 😁Njoo PM D
Naumiya tyuuu hapa, nile chakula cha kuku wa kizungu labda nitakuwa kama mubaba sema hela sasa ndio pagumu hapo.. acha nile kwa macho tu 😭😭🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mbavu zangu NA...khaaa!!..sa itakuaje😜..tuwashtaki au uendelee kula kwa macho😂😂
Selfika 😜Kuna nn tena?
😂😂😂Nitaachaje?Umeanza 😁
Em huko 🤣🤣😂😂😂Nitaachaje?
Atakuwa anacheza mpira wa soksi huko nje 🤣🤣🤣Poker kijana wangu sijui anapuyangia wapi..!!...
Ahsante Sana NA
Nina sura sasa,tuwaachie wenyenazo aiseeSelfika 😜
😂😂😂😂Kinyoongeee...basi sawa endelea kula kwa macho ukose vitraamuNaumiya tyuuu hapa, nile chakula cha kuku wa kizungu labda nitakuwa kama mubaba sema hela sasa ndio pagumu hapo.. acha nile kwa macho tu 😭😭
Ukuje. Wajua vile nimemissEm huko 🤣🤣
Haya mama mdogo 😢😢 baba mdogo karudi nije kula ugali wa bureEnaseketesha sana
😂
Em selfika kwanza mubaba weweUkuje. Wajua vile nimemiss
Acha nijongee kwa shangazi wangu Antonnia kidogo huwa ananitia moyo 😅😅😅😂😂😂😂Kinyoongeee...basi sawa endelea kula kwa macho ukose vitraamu
Unayo bana...😍Nina sura sasa,tuwaachie wenyenazo aisee
mkikosa , life inaendelea tu .Hamnaga hizo mambo, ndio maana mapenzi ya watu hayana furaha.. Kwa hizi semi zenu za hela mtapata mbeleni, mkizikosa je?
Barikiwa cuteUnayo bana...😍
Naneee kasema kunakuwa na furaha na amani mahala pasipo na hela 🙄🙄🙄 thobotooo.. Pesa ni jawabu la mambo yotemkikosa , life inaendelea tu .
Ila mbona watu wapo pamoja na pesa hawana ... kikubwa furaha na amani katika nyumba .
Haya Sasa mrembo..shusha kitu😍🤗😘Barikiwa cute
Naseketeka tu hapa, 😔😔😔 utu uzima dawa wababa wanafaidi tyuuu😂😂🤣🤣🤣🤣🤣!! Polee mjomba!! Nani huyo anakunyasanyasa mjomba wangu???😂