Selfika na JF: Snap it. Show it

dear nacheka sanaaa, watu walifanya yote hayooo lakini mwsho wa picha? Director anasema hiii.
 
National Anthem amemzoea Antonnia ila mpaka leo hajafunguliwa pm. Anabaki kusema ooh sisi marafiki, wapi umeona urafiki wa simba na swala.
Antonnia hataki hata kuniona PM, na kujaribu kote waaapi nimefail.. na kumulezea hisia zangu zote na mapendo yangu kwake.. nabaki nasikitika na kuumilia moyoni 🥲🥲
 
Antonnia hataki hata kuniona PM, na kujaribu kote waaapi nimefail.. na kumulezea hisia zangu zote na mapendo yangu kwake.. nabaki nasikitika na kuumilia moyoni 🥲🥲
Sema kuna neno moja alikuambia ndio nimeyaelewa maneno ya Lenie nadhani kama sio jana basi ni juzi alikwambia yeye ni mtu mzima na sio mtoto hatongozwi hivyo! Kwahyo mi nkajua ndugu yangu National Anthem ungejiongeza ila ukala kona 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…