Nakushauri usiombe hela kama mtu unajua Uko na malengo nae na yeye kama anamalengo na wewe.Hahaha mnakubaliana mapema wenyewe .
asipokupa Sasa , unafanyaje ?
mie mshamba siwezi sana kuomba hela
Umeamua kutusema siooMi binafsi mwanamke omba omba hapana na huo ndio kweli. Mwanamke unakuwa kama lile dubu la kamari. Alafu ukija huku kwenye kikao chenu mnajidai sisi hatupendi pesa tunapenda heshima. Kikao chemu kikiisha tayari unampiga mtu kizinga cha vocha.!!!
Unatakiwa umpe invoice kila mwanzo wa mwezi ili azoee majukumu
π Ukisikia vita vya Dunia mnyime mkeo pesa π nakwambia utasingiziwa kila aina ya dhambi dunia hii.
Hawa ni kama wehu, ndio maana tuliambiwa tuishi nao kwa akili maana wao hawana π π π ..Mi binafsi mwanamke omba omba hapana na huo ndio kweli. Mwanamke unakuwa kama lile dubu la kamari. Alafu ukija huku kwenye kikao chenu mnajidai sisi hatupendi pesa tunapenda heshima. Kikao chemu kikiisha tayari unampiga mtu kizinga cha vocha.
Ebu vipe darasa hivi vitoto, π π πNakushauri usiombe hela kama mtu unajua Uko na malengo nae na yeye kama anamalengo na wewe.
Lakini asilimia kubwa sana mwanamke ndie umtengeneza mwanaume akawa na malengo nae.
Kila mtu anamuwinda mwenzie π€£π€£mbwa kala mbwa
Mada ni ndefu sana hii
Mkuu tuombe radhi tasavaliHawa ni kama wehu, ndio maana tuliambiwa tuishi nao kwa akili maana wao hawana π π π ..
Thank you dear kwa ushauri , nikidate tena nitazingatia hilo .Nakushauri usiombe hela kama mtu unajua Uko na malengo nae na yeye kama anamalengo na wewe.
Lakini asilimia kubwa sana mwanamke ndie umtengeneza mwanaume akawa na malengo nae.
Kila mtu anamuwinda mwenzie π€£π€£mbwa kala mbwa
Mada ni ndefu sana hii
Asinipe hiyo vipi?Hahaha mnakubaliana mapema wenyewe .
asipokupa Sasa , unafanyaje ?
mie mshamba siwezi sana kuomba hela
Nimesema "kama" na "sio" .. radhi ya kazi gani .. wenzenu ambao wamekubali kuwa watii na wanyenyekevu kwa watu wao sasa hivi wanakula mema ya nchi π πMkuu tuombe radhi tasavali
Hapana banaa! Labda useme shida ni woteeeee ..haya mambo si ya kukaa na kuzungumza jamani I don't like like that.... Umemwambia mtu hasikii si ndio pa kwenda kutafuta Peace of mind unakojua mwenyewe!!ππππ Love is a two way traffic nisikilize nikusikilizee Even if you are the provider!!Mwanaume ni kichwa, anaepaswa kuanza kutii ni mwanamke then mwanaume anafata kile ambacho ana muongoza mwanamke.. shida haya mambo ya feminism yana waharibu .. hakuna mwanaune ambae anataka kukaa na mwanamke asie mtii hayupo.. nyie mtaendelea kupiga kelele wanaume ABC ila shida ni nyie
π€£π€£π€£π€£
Kabla yeye ulikuwa ukipata shida, unakufa au ilikuwaje ?Thank you dear kwa ushauri , nikidate tena nitazingatia hilo .
sema inatokea umepata shida ndo usimuombe baby wako , akusaidie utatue shida hiyo .
okay hapo kwenye kumtengenezea mazingira ndo unakuwa supportive girlfriend and more .
Hahaaha noma aisee ππAsinipe hiyo vipi?
Mie uzuri wake nna principle zang na huwa sitoki nje ya hizo, maamuzi n yake asuke au anyoe.
Anazimia... Una swali lingine?Kabla yeye ulikuwa ukipata shida, unakufa au ilikuwaje ?
Mtabeba misalaba mizito sana, tatizo ni feminism.. wenzenu walio watii na wenyenyekevu sasa hivi wana bebika tu na kutunzwa kama vitoto vichanga π π miaka inaenda jamani jamaniHapana banaa! Labda useme shida ni woteeeee ..haya mambo si ya kukaa na kuzungumza jamani I don't like like that.... Umemwambia mtu hasikii si ndio pa kwenda kutafuta Peace of mind unakojua mwenyewe!!ππππ Love is a two way traffic nisikilize nikusikilizee Even if you are the provider!!