Selfika na JF: Snap it. Show it

Hayo mambo sio yangu kabisa
nyie inawachoma eeh ??

acha tujiachie leo mara moja sio mbaya
 
Mwanaume unafilisika vipi?
Kataa hiyo roho kabisa 🀣🀣🀣🀣
Kufilisika kupo japo hakuna mtu anapenda hivyo! Na wanawake wengi hapo ndio uhalisia wao huonekana.
 
Sasa akamuombe nani jamani na wewe ndio my darling wake nyonga mkalia ini Le king himselfπŸ₯°
 
Ndio hivyo hakuna namna..

Kama Unaona hela Yake ni ngumu kutoka…wewe tunza familia Ila chochote kinachomhusu yeye kiwe juu Yake isipokuwa kuumwa tu
 
Eti jamani

Bora tu umpendee pesa zake, hata akizingua atleast umeonja onja visenti inapoza machungu somehow
Nlikuaga lijinga zaman, nlkua nawaza, nkiomba pesa atahisi nimependa pesa zake, au ataniona cheap tyuuh, au atajua kuwa tamaa ndo zimeniweka huku, Nlivokuja kujua uhalisia,

nakamua kweli kweli, tena huwa naweka wazi kabisaaa bhana wee mie pesa ntakua nataka unipe kila nkihitaji, km huwezi tusisumbuane, dunia ina watu wengi hii wee chagua wa kuendana name afu ishi nae.

Mie siku zote ukweli na uwazi nauweka mapemaaaaa, sitaki longo longo.
 
Sasa akamuombe nani jamani na wewe ndio my darling wake nyonga mkalia ini Le king himselfπŸ₯°
Mi binafsi mwanamke omba omba hapana na huo ndio kweli. Mwanamke unakuwa kama lile dubu la kamari. Alafu ukija huku kwenye kikao chenu mnajidai sisi hatupendi pesa tunapenda heshima. Kikao chemu kikiisha tayari unampiga mtu kizinga cha vocha.
 
🀣🀣🀣🀣🀣😁 kweli kabisa wabaya ni sisi mjomba Ndiomana mnatuacha kwenye mataa tunaseketesha sanaa🀣🀣🀣😁😁
Bora yako umeliona, mwanamke ukiwa na utii huto ona mwanaume anakukimbia, acheni bange zenu.. wanaume wanawapenda sana na kuwa value sana.. shida nyie wenyewe
 
Unatakiwa umpe invoice kila mwanzo wa mwezi ili azoee majukumu
 
Hahaha mnakubaliana mapema wenyewe .
asipokupa Sasa , unafanyaje ?

mie mshamba siwezi sana kuomba hela
 
Bora yako umeliona, mwanamke ukiwa na utii huto ona mwanaume anakukimbia, acheni bange zenu.. wanaume wanawapenda sana na kuwa value sana.. shida nyie wenyewe
Unamtii anaekutii nakukusikiliza pia mjomba hata kama ni mwanaume nawe uwe unamsikiliza mwenzio buanaaa!
Kisa wee mwanaume ndio ujionee bebeeeruuuuuu full kuungurumaa na kufoka foka masaa yote hapanaaa
 
Mi binafsi mwanamke omba omba hapana na huo ndio kweli. Mwanamke unakuwa kama lile dubu la kamari. Alafu ukija huku kwenye kikao chenu mnajidai sisi hatupendi pesa tunapenda heshima. Kikao chemu kikiisha tayari unampiga mtu kizinga cha vocha.
🀣 🀣 🀣 🀣
Hamna mwanamke anapenda pesa, hata hapa selfika sidhani kama kuna ombaomba
Wanawake hatupendi pesa kabisa sema tu kuna kundi la watu huko lina chuki na wanawake ndio linatusambazia uzushi.
 
Unamtii anaekutii nakukusikiliza pia mjomba hata kama ni mwanaume nawe uwe unamsikiliza mwenzio buanaaa!!
Mwanaume ni kichwa, anaepaswa kuanza kutii ni mwanamke then mwanaume anafata kile ambacho ana muongoza mwanamke.. shida haya mambo ya feminism yana waharibu .. hakuna mwanaune ambae anataka kukaa na mwanamke asie mtii hayupo.. nyie mtaendelea kupiga kelele wanaume ABC ila shida ni nyie
 
Mi binafsi mwanamke omba omba hapana na huo ndio kweli. Mwanamke unakuwa kama lile dubu la kamari. Alafu ukija huku kwenye kikao chenu mnajidai sisi hatupendi pesa tunapenda heshima. Kikao chemu kikiisha tayari unampiga mtu kizinga cha vocha.
3P's of a man
profess , provide and protect .
just provide and spoil her jamani .
kidogo tu
 
🀣 🀣 🀣 🀣
Hamna mwanamke anapenda pesa, hata hapa selfika sidhani kama kuna ombaomba
Wanawake hatupendi pesa kabisa sema tu kuna kundi la watu huko lina chuki na wanawake ndio linatusambazia uzushi.
Sio dunia ya sasa wewe binafsi Lenie unapenda pesa balaa kuna siku nilikusifia ukanipiga mzinga wa vocha πŸ™ŒπŸ˜‚ angalieni mlivyomfilisi Mjep mpaka hajulikani alipo πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…