Sasa hiyo true love ipo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Moyo Wangu ulivo wa kuridhika hata na kidogo sasa utashangaa naroho yako!!!! Afu mahusiano ya kujengwa kwa msingi wa pesa hayanogi kabisa inaonekana mtu amekupendea pesa na si true love!!
Upo my love wangu..Sawaaaaaa dada, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Zama zimebadilikaaaa waache kuishi kwa theories!!Wamama zetu sio sisi
Tuwacheeeee tafuta hela π€£
Mtaishia kulalamika tu na kuona Me ni wabaya kumbe wabaya wa kwanza ni nyie wenyeweWamama zetu sio sisi
Tuwacheeeee tafuta hela π€£
Kweli umechachukaaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuwache na maumivu yetu, tutameza dawa yataisha.
Yakizidi tutamuona daktariii [emoji1787]
Mnaseketesha sanaTuwache na maumivu yetu, tutameza dawa yataisha.
Yakizidi tutamuona daktariii π€£
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!! Itoke wapeee shosss πππ€£π€£π€£!!Sasa hiyo true love ipo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Me mbona washkaji zetu sana, wala hatuna baya ya waoMtaishia kulalamika tu na kuona Me ni wabaya kumbe wabaya wa kwanza ni nyie wenyewe
Tunayatoa ya moyoni na si vinginevyoHao kila mmoja wao ana uchungu na mauvimu yao, wanajazana hapa upepo, ila deep down mioyo yao imejeruhiwa na wakurungwaa π€£π€£π€£ wanapeana matumaini .. si unajua ma loser wakikutana huwa lazima wajazane upepo ili baada ya hapo wakikaa wanaona uharisia maumivu yanaendelea kama kawa
Dalili ya kwanza, ukiona mwanamke sehemu kubwa analalamika hafai huyoUkitaka kuwajua vizuri filisika alafu yeye awe amebahatika kupata pesa, nakwambia nyumba utaiona ni jehanamu.
Mungu awatie nguvu.Tunayatoa ya moyoni na si vinginevyo
kuongea inasaidia kupunguza machungu kidogo .
Sisi hapa hakuna anaye lalamikaDalili ya kwanza, ukiona mwanamke sehemu kubwa analalamika hafai huyo
Nipooooo kipenziiiii. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Upo my love wangu..
Eti jamani π€£π€£π€£Sasa hiyo true love ipo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo naulizaaaa hapo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!! Itoke wapeee shosss [emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
π€£π€£π€£ππππππ€£ππ pesa sabuni ya roho ila isiwe chanzo cha hizo jeuriiii Sijui dharauuuu Alooooooohh!!Upendo kwanza mengine baadaye .
Pesa sio muhimu , mtu asikutese kisa pesa zake .
yah hawaelewi hao wanahisi kila ke yupo after money tu .
Mwanamke anaweza kuwa analipwa milioni 1 kazini na mumewe kazini milioni 1. Ila majukumu yote ataachiwa mwanaume, ye mwanamke hela zake ni kusuka , vicoba, ahadi kwenye sherehe, kushonesha vijota n.k na bado atakuja akuombe hela ya rejesha π πNitakuwa wa mwisho kukubali mwanamke na mwanaume wanahaki sawa mpka pale wanawake tutakapoweka wazi hii haki sawa ya mwanamke na mwanaume ni ya kwenye nini na nini
Acha nikapunge upepo mie.. bakini na masononeko yenu π€£π€£π€£π€£Sisi hapa hakuna anaye lalamika
Mnaniua Mbavuuuuuuπ€£π€£π€£π€£π€£!! Hapana upendo wa pesa si mzuri Hata kidogo L!!Eti jamani π€£π€£π€£
Bora tu umpendee pesa zake, hata akizingua atleast umeonja onja visenti inapoza machungu somehow
Mwanaume unafilisika vipi?Ukitaka kuwajua vizuri filisika alafu yeye awe amebahatika kupata pesa, nakwambia nyumba utaiona ni jehanamu.