Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,271 Nov 14, 2022 #285,861 cocastic said: unakula chaki? Click to expand... Zamani bana π
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,271 Nov 14, 2022 #285,862 Tinsley said: Kweli dear yeye ana wanawake wengine huko na wewe eeh umetulia tu . Arudi saa saba usiku , unamuambia karibu Kipenzi changu π€£π€£. Click to expand... Na huo muda wote hukulala, ulikaa sebuleni unamsubiriaa Haki jamani, sitaki kuja olewa na mwanaume anayekunywa pombe, maana hao ndo zao kukaa bar huku wewe nyumbani unamsubiria
Tinsley said: Kweli dear yeye ana wanawake wengine huko na wewe eeh umetulia tu . Arudi saa saba usiku , unamuambia karibu Kipenzi changu π€£π€£. Click to expand... Na huo muda wote hukulala, ulikaa sebuleni unamsubiriaa Haki jamani, sitaki kuja olewa na mwanaume anayekunywa pombe, maana hao ndo zao kukaa bar huku wewe nyumbani unamsubiria
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,271 Nov 14, 2022 #285,863 Tinsley said: Ooh inahuzunisha kwa kweli Kuna mdada anasema alikuwa na Mumewe ghafla mchepuko huyo katokea , huyo Dada alitambulishwa kama house girl mbele ya mchepuko . Click to expand... Heeee yan mume ndio kamtambulisha mke kama House girl?
Tinsley said: Ooh inahuzunisha kwa kweli Kuna mdada anasema alikuwa na Mumewe ghafla mchepuko huyo katokea , huyo Dada alitambulishwa kama house girl mbele ya mchepuko . Click to expand... Heeee yan mume ndio kamtambulisha mke kama House girl?
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,171 Nov 14, 2022 #285,864 Depal said: Unaambiwa tu dada yako anapiga simu babe naomba usikohoe π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Click to expand... Hahahahaha ila kuna watu ni makatili jamani
Depal said: Unaambiwa tu dada yako anapiga simu babe naomba usikohoe π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Click to expand... Hahahahaha ila kuna watu ni makatili jamani
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Nov 14, 2022 #285,865 Antonnia said: Hakuna kuulizaaa unatuliza mshonoooπππ€£π€£π€£π€£! Click to expand... Hahha pressure ipande bure kisa kuvumilia ujinga
Antonnia said: Hakuna kuulizaaa unatuliza mshonoooπππ€£π€£π€£π€£! Click to expand... Hahha pressure ipande bure kisa kuvumilia ujinga
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Nov 14, 2022 #285,866 Tinsley said: siwezi unafiki mie jamni nitakuangalia macho makali , mdomo nimekunja Click to expand... hujui kukaushaaa au?
Tinsley said: siwezi unafiki mie jamni nitakuangalia macho makali , mdomo nimekunja Click to expand... hujui kukaushaaa au?
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,271 Nov 14, 2022 #285,867 Lenie said: Hahahahaha ila kuna watu ni makatili jamani Click to expand... ππππππ hapo uliingia ukijua we ni side babe, sasa inakupasa utulie
Lenie said: Hahahahaha ila kuna watu ni makatili jamani Click to expand... ππππππ hapo uliingia ukijua we ni side babe, sasa inakupasa utulie
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,171 Nov 14, 2022 #285,868 Tinsley said: Ooh inahuzunisha kwa kweli Kuna mdada anasema alikuwa na Mumewe ghafla mchepuko huyo katokea , huyo Dada alitambulishwa kama house girl mbele ya mchepuko . Click to expand... Aki me ningemrushia kiatu huyo aliyenitambulisha kama house girl
Tinsley said: Ooh inahuzunisha kwa kweli Kuna mdada anasema alikuwa na Mumewe ghafla mchepuko huyo katokea , huyo Dada alitambulishwa kama house girl mbele ya mchepuko . Click to expand... Aki me ningemrushia kiatu huyo aliyenitambulisha kama house girl
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,016 Reaction score 177,327 Nov 14, 2022 #285,869 Tinsley said: Ooh inahuzunisha kwa kweli Kuna mdada anasema alikuwa na Mumewe ghafla mchepuko huyo katokea , huyo Dada alitambulishwa kama house girl mbele ya mchepuko . Click to expand... Mamaeeee!! Kama ni wewe unafanyeje hapoπ€£π€£πππ???
Tinsley said: Ooh inahuzunisha kwa kweli Kuna mdada anasema alikuwa na Mumewe ghafla mchepuko huyo katokea , huyo Dada alitambulishwa kama house girl mbele ya mchepuko . Click to expand... Mamaeeee!! Kama ni wewe unafanyeje hapoπ€£π€£πππ???
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Nov 14, 2022 #285,870 Depal said: Heeee yan mume ndio kamtambulisha mke kama House girl? Click to expand... Ndio kamtambulisha hivyo ? hapo kuna kuvumilia jamani
Depal said: Heeee yan mume ndio kamtambulisha mke kama House girl? Click to expand... Ndio kamtambulisha hivyo ? hapo kuna kuvumilia jamani
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Nov 14, 2022 #285,871 Lenie said: Saa 7 usiku obvious atakuja kashiba mwili, nafsi na roho, wewe anakuona kama kimdudu gani sijui Click to expand... nakufaaaa mie. Wallah
Lenie said: Saa 7 usiku obvious atakuja kashiba mwili, nafsi na roho, wewe anakuona kama kimdudu gani sijui Click to expand... nakufaaaa mie. Wallah
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,171 Nov 14, 2022 #285,872 Depal said: ππππππ hapo uliingia ukijua we ni side babe, sasa inakupasa utulie Click to expand... Tena unakua mpole kama tangia mwanzoni ulipewa angalizo π€£π€£
Depal said: ππππππ hapo uliingia ukijua we ni side babe, sasa inakupasa utulie Click to expand... Tena unakua mpole kama tangia mwanzoni ulipewa angalizo π€£π€£
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,271 Nov 14, 2022 #285,873 Tinsley said: Ndio kamtambulisha hivyo ? hapo kuna kuvumilia jamani Click to expand... Hapana aisee Hiyo dharau ni kubwa sana ππ
Tinsley said: Ndio kamtambulisha hivyo ? hapo kuna kuvumilia jamani Click to expand... Hapana aisee Hiyo dharau ni kubwa sana ππ
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Nov 14, 2022 #285,874 Carrasco putin said: Njoo unihonge basi x wangu Click to expand... nakujaaa ex.
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,271 Nov 14, 2022 #285,875 Lenie said: Tena unakua mpole kama tangia mwanzoni ulipewa angalizo π€£π€£ Click to expand... Ndio utakuwa busy kubana kikohozi na kuhena kwa nguvu π
Lenie said: Tena unakua mpole kama tangia mwanzoni ulipewa angalizo π€£π€£ Click to expand... Ndio utakuwa busy kubana kikohozi na kuhena kwa nguvu π
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,171 Nov 14, 2022 #285,876 Depal said: Kwanza umechukua hela yako? ππππ Click to expand... Kuna saa nilishika simu nipige nikajiskia kujicheka nikarudisha simu. Au nimpigie saivi, kweli nina shida hela yangu naitaka π€£π€£
Depal said: Kwanza umechukua hela yako? ππππ Click to expand... Kuna saa nilishika simu nipige nikajiskia kujicheka nikarudisha simu. Au nimpigie saivi, kweli nina shida hela yangu naitaka π€£π€£
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Nov 14, 2022 #285,877 Depal said: Zamani bana Click to expand... Nlikua nakula peni had wino unavuja.
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,016 Reaction score 177,327 Nov 14, 2022 #285,878 Depal said: Unaambiwa tu dada yako anapiga simu babe naomba usikohoe π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Click to expand... π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£πππππ!! Lazima utiiiiiii jamaniiiiiii
Depal said: Unaambiwa tu dada yako anapiga simu babe naomba usikohoe π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Click to expand... π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£πππππ!! Lazima utiiiiiii jamaniiiiiii
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Nov 14, 2022 #285,879 Depal said: Na huo muda wote hukulala, ulikaa sebuleni unamsubiriaa Haki jamani, sitaki kuja olewa na mwanaume anayekunywa pombe, maana hao ndo zao kukaa bar huku wewe nyumbani unamsubiria Click to expand... shida sana kuolewa na chapombe kwanza miharufu ile aisee labda awe sio mnywaji sana arudi tena usiku wa maanane anakufokea na kukusumbua
Depal said: Na huo muda wote hukulala, ulikaa sebuleni unamsubiriaa Haki jamani, sitaki kuja olewa na mwanaume anayekunywa pombe, maana hao ndo zao kukaa bar huku wewe nyumbani unamsubiria Click to expand... shida sana kuolewa na chapombe kwanza miharufu ile aisee labda awe sio mnywaji sana arudi tena usiku wa maanane anakufokea na kukusumbua
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,171 Nov 14, 2022 #285,880 Depal said: Ndio utakuwa busy kubana kikohozi na kuhena kwa nguvu π Click to expand... Hata kuhema huruhusiwi hapoπ€£π€£π€£ Kuna watu watakuja kufa jamani kimasihara kwa kukosa pumzi
Depal said: Ndio utakuwa busy kubana kikohozi na kuhena kwa nguvu π Click to expand... Hata kuhema huruhusiwi hapoπ€£π€£π€£ Kuna watu watakuja kufa jamani kimasihara kwa kukosa pumzi