there you go...
halafu jana nilikuuliza swali la permit na visa, remember?
mtz anahitaji pre visa au permit kuingia Cyprus au ni on arrival visa?
Unataka umfwate
there you go...
halafu jana nilikuuliza swali la permit na visa, remember?
mtz anahitaji pre visa au permit kuingia Cyprus au ni on arrival visa?
mtu mmoja huyo tena dumeHao ilikua je mkuu?
kilinishangaza sana sikutegemeaWe hichi kitu hukisahau tu?
La charz bado ipo tu.Nimeshiba pilau alie karibu na La chazi Pub hapa ajitokeze tubonge story mbili 3View attachment 1259658
Mtu nane mi nazuga kwa kuwa leo jumapili hakuna mtu anapenda kuona mwili wa mwanamke mwenye rangi nyeusi kama mimi sijui ni laana.Fanya kama hujaona vile mzee baba...
Mzee kama shabiki wa arsenal naomba uturogee emery yule ikiwezekana achizikeJamani nimeshindwa kuvumilia lakini kwa kweli nimemiss kuroga
Mimi pia nipo safarini; duwa zenuSisi vijana wa Tz Bhana ujuaji mwingi, akisafiri mtu wanayempenda akapost Hongera nyingi na hype la kutosha. Wakisafiri wengine wakapost Eti Show Off
Priscallia umependeza sana ila nakuomba ukae vizuri samahani kama nimekukwaza.








in the air

😁😁😁😁😁😁Priscallia umependeza sana ila nakuomba ukae vizuri samahani kama nimekukwaza.
Huyu kiumbe kavunja mbavu zangu 😁😁😁😁
Tafiti zinaonesha Kuwa Wanaume Walio Oa Wanawake Wenye Akili Hufurahia Ndoa Zao Kuliko Wanaume Walio Oa Wanawake wenye elimuMkuu vip nani sasa kaonyesha ujuaji mwingi na nani kasafiri? embujaribu kuwa unakielewa kitu afuu ndo unatoa maoni sio uwe unakurupuka tu
mtu mmoja huyo tena dume
Good morning family.... morning rookooo
cute b mama p
Atoto shem darling
Mshana Jr aka mr liquid
mkwepu jr mr likes
Sakayo mama wa imani leo utupe neno
sanchez magoli hongera kwa kutulindia nchi imetulia
[USER=552140]Karma miss you..
Heaven Sent picha mama bado tunaisubiri....
Watu8 another mr like....
Shunie
Eli79 my bro heshima kwako.
Depay
Transcend ushatoka moshi??
sweet manka ile tungi ya jana unibakshie basi
Hawachi miss yo
Bint sayuni sant anne Bwana asifiwe
Zurri
Dada shemeji Hannah miss you
Class mate Youngblood unaendeleaje....
[USER=401770]Denvers
Unajimwambafy na picha za watu mkuu
picha fake tu mtu anaamua kukutumiaHahaha haiwezekani aisee huyo miss si ndio walishamchomolea betri kipindi kilee cha yule jamaa wa us??hadi mapicha mapicha yupo na watoto yakawekwa
Yaani acha kabisaaHuyu kiumbe kavunja mbavu zangu![]()
Hujakosea!!Jamani hivi vitenge vipewe respect pia...
Kivaa hicho kitenge ni great hustle....