Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Hakuna mapenzi hapo au Jamaa atakua msukuma au basi








Wige huyo
Hakuna mapenzi hapo au Jamaa atakua msukuma au basi








Tena uzuri Wige yupo hapa peupe
kwa hiyo unanishauri nitafute msukuma na mie
Okay , nitakutext 😉Ukiwa kitandani nambie nikupigie video call
Yeah watunga memes ndo zao hizo .Hii ni bongo movie usiitilie maanani
Hakuna mwanaume zoba kiasi hicho hapa duniani.
Habari za asubuhi TinsleyYeah watunga memes ndo zao hizo .
wanaume wana misimamo yao.
Sweet friend 🤣🤣🤣
Em nipigie fastaaaa 🤣🤣🤣Sweet friend 🤣🤣🤣
Nikikwambia saivi ni maumivu, nahisi uchungu moyoni usinikumbusheeeeee
Vizuri sana kama ni nzuri dadaNzuri Kaka vipi wewe ?
Sitaki nisije kulia asubuhi asubuhi nikashindwa kufanya kazi za muhindi 🤣🤣Em nipigie fastaaaa 🤣🤣🤣
Kuna lingine la tall dark 😏😏
Ukiiga hiyo umeisha.Yeah watunga memes ndo zao hizo .
wanaume wana misimamo yao.
Hela sikupi,, liaaaa upunguze uchungu 😝Sitaki nisije kulia asubuhi asubuhi nikashindwa kufanya kazi za muhindi 🤣🤣
Nitumie hela hata badae nikale pizza inipoze maumivu kibungo
Kibungo niko kwenye majonzi bado 🤣🤣🤣Hela sikupi,, liaaaa upunguze uchungu 😝
Ila PIGA SIMU SASA HIVI mdudu weee 🤣
I understand you very very 🤣🤣Kibungo niko kwenye majonzi bado 🤣🤣🤣
Yaani nacheka ila moyoni nalia
Nakupigia ila usipokee na kicheko
Em tuhadithieUkiiga hiyo umeisha.
Kuna siku niliact kibongo movie,aisee cha moto nilikiona.
Thank you .Vizuri sana kama ni nzuri dada
Za mimi njema/salama kabisa namshukuru MUNGU
KARIBU
Yaani ndio maana sikutaka kukwambia maana najua tu utanizidishia machungu na kicheko chakoI understand you very very 🤣🤣
Kicheko ndo salamu yangu,, hivi kuna siku ushawahi piga nipokee nisicheke 😇😂😂😂
Ukiiga hiyo umeisha.
Kuna siku niliact kibongo movie,aisee cha moto nilikiona.
Tayari hukoSitaki nisije kulia asubuhi asubuhi nikashindwa kufanya kazi za muhindi![]()
Nitumie hela hata badae nikale pizza inipoze maumivu kibungo