Si mlilala wote au basi [emoji41][emoji41][emoji23] Usingizi umepaa itakuwa mchana ulilala sana [emoji6]
Anakusubiri ww mpenzi wake umbembelezeTinsley sa sita hii bado hujalala [emoji23]
hahahaAnakusubiri ww mpenzi wake umbembeleze
Hakuna mapenzi hapo au Jamaa atakua msukuma au basiHawa watu wako sayari gani [emoji1787][emoji1787]
😂😂Hakuna mapenzi hapo au Jamaa atakua msukuma au basi
Unasubir nn kulala siuende kwa mpenzi wako Poker akubembeleze au hutak kubembeleza mrembo wa pekeeBado aisee [emoji23]
Mbona wewee wampenda Yolly hiviHakuna mapenzi hapo au Jamaa atakua msukuma au basi
Poker si msukuma huyo mpenzi wako[emoji23][emoji23]
kwa hiyo unanishauri nitafute msukuma na mie
Msukuma huyo ww hujui Poker mpenzi wako ni kabila gani jamanMmmh are you sure kuwa ni Msukuma .
Sasa si umuamshe morning kiss afu akupe morning glory [emoji39][emoji39][emoji39]napenda kumbelelezwa eeh [emoji23]
Namsubiri Aamke nideke
Hahaha sipo naeSasa si umuamshe morning kiss afu akupe morning glory [emoji39][emoji39][emoji39]
Kwan haupo kwake kwahyo umelala wap sasa shemeji jamanHahaha sipo nae
Acha kunishawishi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimfate kwake.
Kwahyo hakukwambia kbla lakeSijui aisee ndo nasikia kwako .
Nimelala ghetto ShemKwan haupo kwake kwahyo umelala wap sasa shemeji jaman