Selfika na JF: Snap it. Show it

Mweke kwenye friend zone umsome ,, kama ni wa hovyo sana utanusa harufu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo tupo friend zone, ila naona ana over take kabisaaaa, uwiiiiiiih.

Na mie mwenyewe jasusi namchora kwan nimuone anaishia wapi, anadhan mie ni mjinga. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Story of our sweet friend Lenie πŸ˜‚πŸ˜‚


Anaona ushaelekea kibraa, anaandaa kisu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Story of our sweet friend Lenie [emoji23][emoji23]


Anaona ushaelekea kibraa, anaandaa kisu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaaan sometimes huwa nachekaaaa, nataman kumuuliza hili swali "unanichukuliaje? "

Ananiona km mgeni na mapenzi, angejua sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu weeeuweeeeeh πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€Έ Enjoy shosssss maisha ndio hayahayaaaaaa 😘😘😘😘
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nilimuelewaga mtu
Nikamweka kwenye target, akajaaa
Lol kuwa karibu nae vile ndio nikajua hana akili nzuri

Nilikimbiaaa
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣!! Ndiomana wanakwambia ishi/ kaa na mtu umjue!! Khakhakhaaaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…