Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Ni kapepo Fulani kanakotaka kunivunjia mikeka yanguπππWigelekelo kuna nini kipo kati yenu na Saint Anne
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mie siweziiiii. Yaan kila nikijaribu nashindwaaa.Humo ndani kuna namba 2 za Chelsea [emoji23]
Me sahivi nashabikia mpira, sishabikii team
Ngoja muisome namba kwanzaπ€£Wamemuondo jamaaa aliyeipenda Chesii kwa moyo wake π
Banaa me sitaki
Hebu nipe picha kwanza..Ni kapepo Fulani kanakotaka kunivunjia mikeka yanguπππ
Na mchumba wangu Jack Palladino
Ya nani?Hebu nipe picha kwanza..
Huku mvua toka asubui
Weekend ipo poa vipi wewe ?
Ya wigeYa nani?
Lol hongereni na polenii sis... Huku leo naona imetusamehe walau nguo zikauke!Huku mvua toka asubui
Zile nyimbo za Mwansanzu unazijua?Ya wige
Hahaha cha upole Coca[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikiwaga mpolee had watu hawaamini km ndo mie
Mi nguvu za kudai picha huwa sina, hebu nipe picha..Zile nyimbo za Mwansanzu unazijua?
Nguo zake ndo hizohizo
Nachanja mbugaHuku mvua toka asubui
Pole sana mkuu, mmekosana nini?Ni uchungu
ππ
Huyo hajui formula ya kudate na mume wa mtu huyooo!!!Ni uchungu
ππ
Ila wewe huwa unaenjoy nguvu zangu ninazotumia kikudai au sioπMi nguvu za kudai picha huwa sina, hebu nipe picha..
ππππππNi uchungu
ππ