Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
ndo kawaida yao , ukiwa hujasukaKwamba wanaona Nywele zako zimefumuka au umebana tu???
zimeoteana hizo
nmebana tu .
ndo kawaida yao , ukiwa hujasukaKwamba wanaona Nywele zako zimefumuka au umebana tu???
😂😂😂😂 Subirini hapo hapo dk0Namie nasubiriapo wowo diaa🙇🙇🙇😍
Nakuaminia kipenzi haunaga mbambambaa kabisa ...😘😘😂😂😂😂 Subirini hapo hapo dk0
Yna2 huyo ni Shemeji yangu kwa Wigelekelo kila mtu hapa selfika anajua muulize hata Antonnia Tinsley au Carrasco putin hapo ametumwa anitege ili undugu wangu na Wigelekelo ufe anifukuze nyumbani!Hakuna mkate mgumu kwenye chai..huyu ataingia tu kwenye 18 asituchezee hapa.
Poker ×3....nimekuita mara 3..usimfanyie hivyo mdogo wangu
Ngoja nimwite Bro ERoni asicheze mbali
Nakaziaaaa..... Saint Anne ni wa Wigelekelo tu hakuna mwingine!!Yna2 huyo ni Shemeji yangu kwa Wigelekelo kila mtu hapa selfika anajua muulize hata Antonnia Tinsley au Carrasco putin hapo ametumwa anitege ili undugu wangu na Wigelekelo ufe anifukuze nyumbani!
Jamani mdogonwangu..huyu poker huyu.. au tumteke?🤔Ananinyanyasa Mimi![]()
Asantee boss lady. Hunaga unafki nakukubali sana miaka 1000. Long live Antonnia uishi kuwaona vitukuu vyako.Nakaziaaaa..... Saint Anne ni wa Wigelekelo tu hakuna mwingine!!
Ndicho kilichobakiJamani mdogonwangu..huyu poker huyu.. au tumteke?![]()
Mimi namtaka Poker pekeyakeeMpambe kazinii!! Naweee usimbanie Wigee buanaaa
![]()
Oyo Oyo![]()
all the best love
na genius huyu au mwingine ?






yeyote atakayekua wakati huo.Poker ameuteka moyoNakaziaaaa..... Saint Anne ni wa Wigelekelo tu hakuna mwingine!!
Poker poker PokerMpambe kazinii!! Naweee usimbanie Wigee buanaaa
![]()
Nisaidie bwana Coca.
Umeona eeh alivyo na dhambi,,ameshindwa kunisakizia kote ananisakizia Kwa msukuma ati!!





wasukuma wana nn kwan???Mbona pregooo lol hebu mlete kwanza huyo wakuingizaa hiloo baoooo![]()
Nipo shoss anguuuuu kila siku nakuuliziaaa jamaneeee si selfika si tsup ulitupa jongooo na mti wakeeee vibaya hivoo shoussssss!
Watoto ni baraka shostteeee hebu nizae kengine mie soonn nakuita ushuhudieeee kabebii
na saiii tunataka kabebi girl hebu tupe stailiiii kareeeeeee
!
Miss you xanaaa shosssss![]()







umechachukaaaa vibayaaaaaa, nimecheka had machoziiiii.