Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,849
Ngoja tutafute hela NkamuAmeen Nkamu utapata zaidi ya hii Mama angu[emoji7][emoji7][emoji7]
Mmh[emoji4] uongooooSalama kabisaaa![emoji3]
😉Mmh[emoji4] uongoooo
Mtakatifu veeepe tena?Mbele ya penzi lako Niko radhi kufanya lolote
Nipo radhi kufanya chochote
Sipo radhi kupoteza wewe
Mchumba kumbe umeolewa na husemi?Mke wa mtu sumu ujue😊Mume wangu yupi wakati ndio kwanza Nina Mchumba huyo 😂
Jana ulilala mapema eeh😅Mtakatifu veeepe tena?
Jack Palladino
Nilikuwaza mchana kutwa mwisho nikasinzia mapema [emoji28]Jana ulilala mapema eeh[emoji28]
Si wananionea wivu hao wanataka tuachaneMchumba kumbe umeolewa na husemi?Mke wa mtu sumu ujue😊
Mimi na yeye hatuachaniMtakatifu veeepe tena?
Jack Palladino
[emoji28][emoji28]Mimi na yeye hatuachani
Umenimiss eeh😉Nilikuwaza mchana kutwa mwisho nikasinzia mapema [emoji28]
Wana fujo sana nashangaa wanaitana 🤣Si wananionea wivu hao wanataka tuachane
Sio kidogo [emoji9]Umenimiss eeh[emoji6]
Wivu tuWana fujo sana nashangaa wanaitana 🤣
Kabisa😘Wivu tu
Watu hawapendi kutuona tupo pamoja
Nikuone mchumba 😋🥰Kabisa😘
Wewe baki na Wige[emoji28][emoji28]
Bdae kidogo nutaweka hapa!😊Nikuone mchumba 😋🥰
Wige ndo kashakudondokea weweWewe baki na Wige
Nashangaa ananisumbua sana hapa wakati na wewe upo.