Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Fanya kazi asije kunisumbua aseeWige ndo kashakudondokea wewe
Usimkatili mtoto wawatu![]()
Fanya kazi asije kunisumbua aseeWige ndo kashakudondokea wewe
Usimkatili mtoto wawatu![]()
Bwana mchumba unanichomesha mahindiBdae kidogo nutaweka hapa!😊
Yani Jana ilinyeshaa maji yakajaa hadi yanamwagika jikajisemea ungekuepoooo doh!!Thank you 😊
huku joto aisee ni balaa ..
na maji hakuna basi ndo balaa tupu .
Angemalizia PM au angeandika 23:59EVEN THE LONGEST OF THE DAY WILL EVENTUALLY COME TO AN ENDView attachment 2414726
Yani Jana ilinyeshaa maji yakajaa hadi yanamwagika jikajisemea ungekuepoooo doh!!
Poleni dearr!Ningejikingia maji huko
Maji tunanunua dumu 500
Hali mbaya ..
Thank you dear 😍Poleni dearr!
Iko cool tu mamy weekend imeshika hatamu. Nishavimbiwa Zangu hapa usingizi tu!Thank you dear 😍
jioni inasemaje
Mie mwenyewe nimechokaIko cool tu mamy weekend imeshika hatamu. Nishavimbiwa Zangu hapa usingizi tu!
Goodnight Beautiful 😘Usiku mwema wapendwa !!
Mlale unono 😘!
Weekend ndio imeanza alafu mnaanza kutakiana usiku mwema!Goodnight Beautiful 😘
wengine hatujazoea kutokaWeekend ndio imeanza alafu mnaanza kutakiana usiku mwema!
Safi ndivyo mtoto wa kike unavyotakiwa kuwa sio kiguu na njia mpaka mtaa wa tatu.Sina tabia hiyo ya kutembea
mtu wa indoors sana mie .
nikitembea naenda for a reason
Sahihi , mambo yana wenyewe hao .Safi ndivyo mtoto wa kike unavyotakiwa kuwa sio kiguu na njia mpaka mtaa wa tatu.