Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kelsea 🤨🤨🤨
Antonnia , jana night hiyo 🤣🤣🤣... mzabzab mwanawane jana nililipuka lazima mtoto ilikuwa aende na maji na kesho nampeleka zanzibarView attachment 2414406
Kelsea 🤨🤨🤨
Antonnia , jana night hiyo 🤣🤣🤣... mzabzab mwanawane jana nililipuka lazima mtoto ilikuwa aende na maji na kesho nampeleka zanzibarView attachment 2414406
Lol mjomba uliwakaaaaa hatareeeee😍😍😍😍😍! Pendeza sana mjombaa
 
Antonnia
Shoga uyogaa kisa kuwa mama kija ndo unifungie vioo, nakuambia utakufa umechoka sanaa mwayaa,

Haya zaa wee mwenye mayai, mwenzio nilikaangia chips,

Nimekumic mnooooooo shoga mbogaaaaa.
Mbona pregooo lol hebu mlete kwanza huyo wakuingizaa hiloo baoooo 🤭🤭 😂😂😂🤣🤣😁
Nipo shoss anguuuuu kila siku nakuuliziaaa jamaneeee si selfika si tsup ulitupa jongooo na mti wakeeee vibaya hivoo shoussssss!
Watoto ni baraka shostteeee hebu nizae kengine mie soonn nakuita ushuhudieeee kabebii🧑‍🍼 na saiii tunataka kabebi girl hebu tupe stailiiii kareeeeeee🤣🤣🤣🤣😂💃💃💃🤸🤸🤸!
Miss you xanaaa shosssss😘😘😘😘😘
 
Back
Top Bottom