Mkubalie Wigelekelo kwanza alafu tuma namba ya wakala wige akutumie hela ya lunch ukale pale hill view hotel uzunguni mbeya.
Say Yes to my request![]()
Sina kipya hataaa! Hebu Nione kiuno nyigu nikae fresh mie !!Hebu tupia na wewe sasa
Tubalance stori kama zile equation zako za kemia.
Kama $800 tu 😀😀😀Kabisa Yaani
Imetoka juu mawinguni
Dollari ngapi umeangusha hapo?
Weeeeh pamoja na filter yaliyomo yamooo kipenziiii!! Mbona wote tunaweka filter na haitutoi hivooo😂😂😂!! Uko vizureee deaaaaa😘😘Siamini unaungana na Anne kunijaza..😂😂 acha Bwana Mimi wa kawaida mno..kamera na filter zinastiri sana
Sabuni ya roouh!😍Mkubalie Wigelekelo kwanza alafu tuma namba ya wakala wige akutumie hela ya lunch ukale pale hill view hotel uzunguni mbeya. View attachment 2414451
😂😂😂😂 Haya banaWeeeeh pamoja na filter yaliyomletea yamooo kipenziiii!! Mbona wote tunaweka filter na haitutoi hivooo😂😂😂!! Uko vizureee deaaaaa😘😘
Tuone ya uzee sasa😘😘😂😂😂😂 Haya bana
Ahsante Sana dear
Kwenye uzee shoo Sina mpya 😂😂Tuone ya uzee sasa😘😘
Tuonepoo jamanee!! Bado unalipaa sana shougaaaKwenye uzee shoo Sina mpya 😂😂
Hahaha mapenzi nishaachana nayo mie 😂😂 .Mapenzi hayo ya kina Tinsley tushapita kitambo![]()
Hahaha mapenzi nishaachana nayo mie.
Nimekuja Mwenge hapa hadi kero kila ukipita unaulizwa njoo usuke dada , au kupaka rangi.



Nataka zako PokerMkubalie Wigelekelo kwanza alafu tuma namba ya wakala wige akutumie hela ya lunch ukale pale hill view hotel uzunguni mbeya. View attachment 2414451
Basi hata kama ni kuimba kwaya wige yuko tayari maana najua unapenda kwaya sana!Nataka zako Poker
Nikubalie basi
Eendiwoooooooo!! Unitafutie jina zureeee💃💃Wacha![]()
Embu kubali nawewe..ubembelezweeeBasi hata kama ni kuimba kwaya wige yuko tayari maana najua unapenda kwaya sana!
Kwamba wanaona Nywele zako zimefumuka au umebana tu???Hahaha mapenzi nishaachana nayo mie 😂😂 .
Nimekuja Mwenge hapa hadi kero kila ukipita unaulizwa njoo usuke dada , au kupaka rangi.
Mnunulie tambi tamu bhnaUmenikumbusha Kesho nimnunulie Junia Tambia anazipenda balaaa!