National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,202
Morning my shangazi yangu kipenzi 🙂🙂 natumaini familia na wewe mzima kabisaGood morning Mjomba!!
Morning my shangazi yangu kipenzi 🙂🙂 natumaini familia na wewe mzima kabisaGood morning Mjomba!!
Lol kumbe!! Huwa zinapendeza sana wanawake hizi nguo!!
Yeah we are all doing well mjomba!!Morning my shangazi yangu kipenzi 🙂🙂 natumaini familia na wewe mzima kabisa
Yes, tena wenye gushepu zenu ni mnatokezea balaaLol kumbe!! Huwa zinapendeza sana wanawake hizi nguo!!
Kaa hapo, nautupia so soon.. mke mwee anasababishaMwee sijawahi, ila hua napenda wanaovaa na wanapendeza sana.
Niko poa sana asee hali ya hewa matata sana hii!!Antonnia Tinsley Mjep Lizzy Lenie Carrasco putin myoyambendi Wigelekelo Post M-alone mkwepu jr habari za ijumaa hope mko mpoa na hii hali ya hewa shawishi sana
Weuweee itabidi mke mwe tumjengee sanamu.Kaa hapo, nautupia so soon.. mke mwee anasababisha
Hali ya hewa ilikua nzuri asubuhi, saivi naona jua kama kawa.Antonnia Tinsley Mjep Lizzy Lenie Carrasco putin myoyambendi Wigelekelo Post M-alone mkwepu jr habari za ijumaa hope mko mpoa na hii hali ya hewa shawishi sana.
Upo kwa mumeo mzabzabTushaamka na tushaanza kuteseka muda sanaa!!
Wee hawa warembo wa jf wote wamenikataaa...ata pm zangu hawajibuUpo kwa mumeo mzabzab
Upo na Tinsley hapo! Nataka Niongee nayeAntonnia Tinsley Mjep Lizzy Lenie Carrasco putin myoyambendi Wigelekelo Post M-alone mkwepu jr habari za ijumaa hope mko mpoa na hii hali ya hewa shawishi sana.
Huyo ni mwehuuu!!Wee hawa warembo wa jf wote wamenikataaa...ata pm zangu hawajibu