National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,202
Pamba hiyoKwani unatumia mafuta gani dada 🥰
Pamba hiyoKwani unatumia mafuta gani dada 🥰
Si ndio ameanza taratibu kuanzia chiniSasa hii ndio selfie gani, ivi nani kasema anataka kuona mguu🥹🥹🥹🥹 ebu pandisha juu kidogo
Pamba gani na mimi nitumiePamba hiyo
Nipe yule mdogo wako mzuri mzuriSi unamuelekeza jamani acha Hizo jirani akeee Tinsley
Tunataka kuanzia mapajani, miguu hata shetani anayoSi ndio ameanza taratibu kuanzia chini
Nitafutie shangazioo banaaa usiniangushe mjombaaaWanao pita kimya kimya hata wanajulikana basi ila wapo kama wasio julikana, na ndio mashemeji zetu
Hujui mafuta ya pamba ndugu yake na mafuta ya koliePamba gani na mimi nitumie
Ushari shari 😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tunataka kuanzia mapajani, miguu hata shetani anayo
Mie mwenye nataka, nianze kutafutia mtu, acha wote tufee na ukame 🤣🤣🤣Nitafutie shangazioo banaaa usiniangushe mjombaaa
Kha 😂😂Hujui mafuta ya pamba ndugu yake na mafuta ya kolie
Ewaaa kajioni hakaa, za ushari shari ndio mahala pake shangazi wanguUshari shari 😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mbavuu zanguu mjombaaaa...Mie mwenye nataka, nianze kutafutia mtu, acha wote tufee na ukame 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 loohTunataka kuanzia mapajani, miguu hata shetani anayo
Njema sana piaMarahaba binti,
Siku njema kabisa mama, wewe?
Sio picha kama tupo msibani 🙂🙂🙂🤣🤣🤣 looh
🤣🤣🤣🤣🤣 Wanaume si mnapasianaga mazali lakini mjomba hunitakii mema shangazi ako unataka niendelee kudodaa mjomba jamaneee😉😉😉Mie mwenye nataka, nianze kutafutia mtu, acha wote tufee na ukame 🤣🤣🤣
Aaah wee endelea kudodaa tu, mbona mie nimedodaaa vizuri hadi nimezoea 🤣🤣🤣🤣.. hapasiwi mtu hapa kila mtu apambane kivyake🤣🤣🤣🤣🤣 Wanaume si mnapasianaga mazali lakini mjomba hunitakii mema shangazi ako unataka niendelee kudodaa mjomba jamaneee😉😉😉
Hahahahaaa sina hata jipya mjombaa WanguEwaaa kajioni hakaa, za ushari shari ndio mahala pake shangazi wangu
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭 kila mmoja ashinde mechi zake ausio hahaha connect mtu ateleze buanaaAaah wee endelea kudodaa tu, mbona mie nimedodaaa vizuri hadi nimezoea 🤣🤣🤣🤣.. hapasiwi mtu hapa kila mtu apambane kivyake