Darcyy
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 2,432
- 9,756
Kabisa. Mtu anakuquote but huoniWalikuwa wanakera sana Aiseee
Kabisa. Mtu anakuquote but huoniWalikuwa wanakera sana Aiseee
Na notifications zao za mwezi JuneKabisa. Mtu anakuquote but huoni
Miss you too mama...mambo mambo tu ya hapa na paleMiss you sanaa dear ..ulitususa kweri kweri
Kitengo cha kukaribisha wageni selfika usituangushee!!!Mambo
Ni ingizo jipya au umebadili ID![]()
Hebu tuone ulivopendeza sasa🤔🤔Ashindwe na alegee
Nipp dabo Mimi.
Nilikuwa singo humu nikawa napigwa tu na upepo hakuna aliyenidondokea.
Sasahivi Mama pasta nimeanza kupendeza wanajidai kunidondokea![]()
🤣🤣nimemshukuru kwa kuwepo jeiefu 😆😆😆😆Unamshukuru Kwa kipi😂😂😂
Hivi maembe huwa Hamlin?
🤣🤣🤣🤣🤣Hebu tuone ulivopendeza sasa🤔🤔
😂😂😂😂😂🤣🤣nimemshukuru kwa kuwepo jeiefu 😆😆😆😆
Sijui walikuwa wanajisikiaje kutuwekea notifications za mwezi Junenilikuwa naenda web tu
Fanya hivo kipenzi muda mrefu sana umetisusa!!Ahahah mi mpigaji photo sasa mamii?. Lbd nikupe ya mguu![]()
Mambo yao tuwaachie Wenyewe.... sijui ndio bado wanaboresha labdaSijui walikuwa wanajisikiaje kutuwekea notifications za mwezi June
Imagine miezi yote walituwekea notificationza june18Mambo yao tuwaachie Wenyewe.... sijui ndio bado wanaboresha labda
Kuna muda jf wanazingua kinomaImagine miezi yote walituwekea notificationza june18
Sema juzi kati hapa Kuna Uzi tumewachamba.
Sema handsome sana AiseeeHaya ndo maneno sasa.
😘😘😘😘
SanaKuna muda jf wanazingua kinoma
Ebu tumuone shem handsome kwanza😁😁😁😑!Sema handsome sana Aiseee
Hadi anasababisha sijiamini
Ni kama wale ubawawekaga kwenye avatar..
Ila bonge la husband matirio,familia tumeopoa mtu na nusu 🤣
Najua ungekuwa na uwezo wa kuwapiga wewe ungewabutua kweli kweli 😂🤣🤣🤣🤣!!Sana
Unatamani uwapige