Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,818
- 233,249
Ili tuzae litoto lishambest??Wigelekelo ni wako na mnaendana kinounaaaa noumaaa
Sitakiš
Ili tuzae litoto lishambest??Wigelekelo ni wako na mnaendana kinounaaaa noumaaa
Hahaha, subiri kwanza Joan atupie shape la kwenda, usimkatishe tamaa kuweka shape lake Anne.Braza Kuna namna umemvutiaš¤
Nasema uongo Elii?
Ndo maana tunapewana mikopo kila sikuHahaha mahela kama yote
Hawataki kuwa romantic. Kazi kung'ang'aniza eti?Na misukuma ilivyo mishamba
Hata kutongoza haijui
Inang'ang'aniza tu



Uzuri huyu Hana MbambambaHahaha, subiri kwanza Joan atupie shape la kwenda, usimkatishe tamaa kuweka shape lake Anne.
Hata kiswahili tu,wanakigandamiza utadhani wanataka kukizika mdomoniHawataki kuwa romantic. Kazi kung'ang'aniza eti?![]()
Hahaha unanifanya nacheka Hadi nashangaliwa.Kwanza hadi Eroni ametokea
Aisee una nyota ya juu mawinguni
Huwa hacomment hovyo,,,hebu muangalie huyu braza Kwa jicho la roho.
Weee mtoto atakuaa mcutttttttt waukweeeee kama ni boy atakua veri hensamu!!!Ili tuzae litoto lishambest??
Sitakiš
Mdhunguu mdhunguu weuweeeeejKwako Saint Anne š
Cheka mamaaa cheka utanue mapafuuu!!ššš Maisha Ndio hayahayaaHahaha unanifanya nacheka Hadi nashangaliwa.
Hahaha, subiri kwanza Joan atupie shape la kwenda, usimkatishe tamaa kuweka shape lake Anne.



AkiyananiWeee mtoto atakuaa mcutttttttt waukweeeee kama ni boy atakua veri hensamu!!!
Kweli jiraniCheka mamaaa cheka utanue mapafuuu!!ššš Maisha Ndio hayahayaa
Kumbe Nawewe usakumbana na sukuma gang kipendhiiiš¤š¤ šššššš!!Hawataki kuwa romantic. Kazi kung'ang'aniza eti?![]()
Kabesaaa jirani umeona eeehhhhhh!!! Selfika ni stress free zoneKweli jirani
Dada usichezee bahatiHahaha unanifanya nacheka Hadi nashangaliwa.
Kweli kabisa jiranii...Kabesaaa jirani umeona eeehhhhhh!!! Selfika ni stress free zone
Hahahah, nakufatilia sana Anne!!Dada usichezee bahati
Nyota yako imeng'aa sana leo
Elli kuibukia picha yako ni dalili kuwa wewe ni mtu na nusu na robo yake Tenaš„