Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Etii niniTuone na lako Boss lady![]()

Etii niniTuone na lako Boss lady![]()

WachaaLa Tinsley kali sana weee
Kuna namna limeingia Kwa ndani halafu lainiii
MmhYaniiii ana Jicho zuriii balaaa
kubandikwa kope ndo balaaVingine vinipite
Mara machozi yanitoke mfululizo
Usiombe ndo uwe bibi harusi hapo umepakwa.
Zinauma??kubandikwa kope ndo balaa
mie walinipaka eye liner aisee nilikuwa mvumilivu siku ile .
sio SanaZinauma??
Kama hivi shosti .Zinauma??
Kazi ipo!Kama hivi shosti .
Jamani Kaka tunaongelea jicho la kuangaliaEtii nini![]()
alinichora sema hakukoza , nilikuwa natingisha tu macho 😂😂Kazi ipo!
Wanawake tumeumbwa matesoo 😂
Bangi zilishampanda kisogoniJamani Kaka tunaongelea jicho la kuangalia
😂😂😂alinichora sema hakukoza , nilikuwa natingisha tu macho 😂😂
Mimi nadhani siwezisio Sana
mie nipo sensitive sana kitu kinapitishwa chini ya jicho aisee
yeah kazi .Mimi nadhani siwezi
Za asubuhi MkuuDominika
salama kbs,umeamkajeZa asubuhi Mkuu
Vizuri Mkuu ,salama kbs,umeamkaje