Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,021
- 177,332
Tunayooooooo🤸🤸🤸🤸💃💃💃💃💃💃hapana chezea 😍😍
Ndoa tunayo 🥳🥳🥳
Tunayooooooo🤸🤸🤸🤸💃💃💃💃💃💃hapana chezea 😍😍
Ndoa tunayo 🥳🥳🥳
ndio lako jicho madamLangu Jicho ??? 😎😁😁🤔🤔 mbona vichekesho shogaaaa ueiii😂😂😂😎😎😎😎😎!! 🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️😀😀😀😀
La kwake sasa lilivyo zuri.Hapo baba pasta hachomoiii Hakyanani tena uwiii

Eendiwoooooooo Tunaomba guu la kinyakiiiii💃💃Weeeh![]()
Hata Kwa dawa siwezi weka fimbo zanguEendiwoooooooo Tunaomba guu la kinyakiiiii![]()
Yaniiii ana Jicho zuriii balaaaLa kwake sasa lilivyo zuri.
Ana macho mazuri hadi najiuliza sijui alihonga nini Kwa Mungu![]()
Mbavuu zanguu mimiiiii🤣🤣🤣🤣🙆🙆🙆ndio madam nibariki 😍😍
La mchongojicho on point ....umedamshi shosti![]()


mweh I give upHata Kwa dawa siwezi weka fimbo zangu
MnoooYaniiii ana Jicho zuriii balaaa
wanja wa lulu huoLa mchongo
Walinipaka juzi hayo sijui madude Gani
Nikatamani niyatoe![]()
Rotimi and Vanessa😊Ninavyotisha😂
Hebu tupia kapicha mchumba wangu whiter😍🔥kama Rotimii🔥👌
tuone Bosslady wetuMbavuu zanguu mimiiiii🤣🤣🤣🤣🙆🙆🙆
Yale matege yajifichage tu kwenye migauni mirefumweh I give up
Tungaliyajua haya basi tusingegombana wala kupishana kwa mambo madogo madogo .MUHIMU```
Kuna siku marafiki tutatengana
hatutaonana tena wala kuwasiliana.
Wengine umri utakuwa umeenda
sana wamekuwa wazee na wengine hawatakuwepo duniani.
Tutakumbuka
tulivyokuwa tunachat
tutakumbuka tulivyokuwa tunapendana
na kushirikiana
tutakumbuka tulivyokuwa vijana wenye nguvu
tukikimbizana
huku na kule lkn hatutaweza kuwa pmj tena.
Labda bado tutakuwa na picha
za marafik zetu tutaziangalia na kukumbuka mengi.
Watoto na wajukuu zetu watatuuliza
"Ni kina nani hawa?"
Kwa maskitiko tutawaambia "Ni wapendwa wetu tulioshirikiana na kupendana nao"
Huzuni zitatufunika maana hakutakuwa na njia ya kuonana tena zaidi ya kukumbuka enzi zetu!
Huu ni wakati wa kufurahi na marafiki
![]()
![]()
![]()
na kutendeana mema ili tusije kujuta baadae.
Huu ni wakati wa kupendana na kila aliye karibu na wewe.
Onyesha upendo
na moyo
wa furaha kwa kila unaechat nae kwa sasa.
Tunza kumbukumbu za yale mazuri unayotendewa na marafiki zako
Tunza picha zake kwa bidii
Kama unakubaliana na mimi wakumbushe marafiki zako wote kuwa upendo
ni kitu cha thamani sana!!
![]()
Mkumbushe kila unayechati naye kuwa hataendelea kuchat na wewe milele hivyo autumie huu wakati
vizuri.
Kama na mimi ni mmojawapo nikumbushe kukuthamini na kukutendea mema![]()
Ulikutoa mnooowanja wa lulu huo
ulipendeza ... mie napenda sana kuupaka .