safi
Nifundishe na mimiWeekend
Ahaa mchumba huwezi kupika maandazi?Nifundishe na mimi
kn roast ?Karibu
Sina cosistencyAhaa mchumba huwezi kupika maandazi?
Karibu mama Junia nitakufundisha kipenzNifundishe na mimi
Hamna ni maziwa tu ndo yapokn roast ?
Yanatamanishaaa😋😋😋!Karibu mama Junia nitakufundisha kipenzView attachment 2408286
Safiiii
Mungu awalinde..Precision Air yadondoka ziwani Bukoba asubuhi ya leo. Uokoaji unaendelea !7
Amen Amen Jirani!!Mungu awalinde..
Halafu iweje?Ahaaa itabidi nibadili dini ili niwe kama Manara!![]()
MazuriKaribu mama Junia nitakufundisha kipenzView attachment 2408286
Mtoto ulimpeleka? Ndo siku yenyewe leoNifundishe na mimi
Aisee pole sana kwa wahanga, scary sana..Uokoaji unaendelea
Ukiwa tayari niambie nikuelekezeMazuri
Haijatamkwa na Idadi kamilii bado haijatajwa kwani bado wanaendelea na kuokoa!Aisee pole sana kwa wahanga, scary sana..
Kuna vifo?