Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,994
- 48,498
😂AsanteEwaaa...lips za kuombea mkopo
😂AsanteEwaaa...lips za kuombea mkopo
Umeanza lini kuweka ma emoji makubwa yote yale mdogo wangu umetufitiniiiiiNipo now nilitoka online kidogo
Ahaa ya haina noma kipenziHapana sio dada
😂😂Emoji mbona ndogo hiyoUmeanza lini kuweka ma emoji makubwa yote yale mdogo wangu umetufitiniiiii
Ahaa ya haina noma kipenzi
Wee kubwaaa...hebu tuione!! Saint Anne umepitwa!!😂😂Emoji mbona ndogo hiyo
Beautiful, kwa hali hii tutapona kweli?Hahah Asante ila sio shombe ni filter
My skin colour👇View attachment 2407827
😂😂Kwann msipone😂😂Beautiful, kwa hali hii tutapona kweli?
Pole kipenzi... kama umechoka sana oga maji ya baridi upumzike tu dear!Yaani umejuaje ndo nachezea simu hapa nisilale 😂
nimechoka kiaina ...
Bado nadeka kwanza kwa mtuPole kipenzi... kama umechoka sana oga maji ya baridi upumzike tu dear!
Wacha weeeeehhh.. Watu weeeuweeeeeh 💃💃💃💃🤸🤸🤸 wapi Saint Anne hahahaaa.. Enjoy dear Maisha Ndio hayahayaa😘😘Bado nadeka kwanza kwa mtu
nalalaje saa hizi 😂😂.
Thank you dear ❤️😘Pole kipenzi... kama umechoka sana oga maji ya baridi upumzike tu dear!
Wacha weeeeehhh.. Watu weeeuweeeeeh 💃💃💃💃🤸🤸🤸 wapi Saint Anne hahahaaa.. Enjoy dear Maisha Ndio hayahayaa😘😘
Aririririririiiiiiiiiii 👌👌👌👌👌👌 Na ujiachie kweri kweri sasa kipenzi Ngoja nikuwache ufurahi na mupenzi kwanza selfika tupo tu haya toka online pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!! See you tomorrow dear go n focccuuuusssssss😛😛!!😍😍😍
Yeah aisee najibania sana , ngoja nienjoy kidogo
hahahaha nimecheka aisee , mie nafanya multiple things usiwaze , msg ikiingia nawahi chap kujibu 😂😂Aririririririiiiiiiiiii 👌👌👌👌👌👌 Na ujiachie kweri kweri sasa kipenzi Ngoja nikuwache ufurahi na mupenzi kwanza selfika tupo tu haya toka online pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!! See you tomorrow dear go n focccuuuusssssss😛😛!!
Focusssssss dear unaniangushaaaaa🤗🤗😁 usiku huu unapataje muda wa kushika simu na uko na mtu banaaa!! Haya ngoja mi nimwamshe Junia akojoe tulale sasa nawe utoke online!!hahahaha nimecheka aisee , mie nafanya multiple things usiwaze , msg ikiingia nawahi chap kujibu 😂😂
vidole tupo standby .... thank you Sis ❤️❤️