Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Haya mchumba tupia kapichaRotimi and Vanessa![]()

Haya mchumba tupia kapichaRotimi and Vanessa![]()

Hapanawanja wa lulu huo
ulipendeza ... mie napenda sana kuupaka .
Sijui alifanyaje akapendelewa like jichoYaniiii ana Jicho zuriii balaaa

Asante , siku niupake tena.Ulikutoa mnooo
ooh kumbeHapana
Juu ya jicho
Chini ya kope..Kuna madude Fulani waliweka
Saw ya that time unatambulishwa,, ulikuwa una tremble kinomahalafu uligeuka nyuma ujue
una ngeli nzuri my friend.



tulimmiss Shem wetu huyo]
Aanza tu![]()
Atapendeza mnoo Alivo na jicho zuri sasa!ooh kumbe
siku paka wanja wa lulu .
Weee lako zuriii Langu kama la mwiziiii🤣🤣🤣🤣Sijui alifanyaje akapendelewa like jicho
Wakati wengine macho yetu ya kutishia watoto wasumbufu![]()
Unakolea mnoooh kumbe
siku paka wanja wa lulu .

Mimi ndo Alqaida kabisaWeee lako zuriii Langu kama la mwiziiii![]()

hahaha im always nervous hasa kwenye crowds..Saw ya that time unatambulishwa,, ulikuwa una tremble kinoma
Aaah hyo ngeli wapi nawe![]()
yupo shombe shombe wa AnneUtadhani kweli yupo![]()
yeah mzuri haswaUnakolea mno![]()
apakwe na mascara sasaAtapendeza mnoo Alivo na jicho zuri sasa!
Shombe wa mchongoyupo shombe shombe wa Anne
Yale ya kupaka kwenye nyusi??apakwe na mascara sasa
atadamshi
halafu ni mrefu eehShombe wa mchongo
