Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,308
Saint Anne kiuno nyigu a.k.a muke ya bwana pep na mupenzi halali ya Wigelekelo njoo unibless asubuhi asubuhi Yangu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Nipo dear bize na kupalilia tyuu kipenzi 😘!! Hauna ka selfii karibu hapo uniblessipo nikapalilie vizuri maharage yangu dear 🤔🤔Miss you more madam
Niko poa madam habari yako
Umejua kupotea kweli hope kila kitu kipo sawa
Kwahapa sina ngoja baadae nikitupia nita kutag dearNipo dear bize na kupalilia tyuu kipenzi 😘!! Hauna ka selfii karibu hapo uniblessipo nikapalilie vizuri maharage yangu dear 🤔🤔
hatari tupu bosslady nishamaliza .Lol maji ni uhaii dear shudhulikia kwanza haina noma hata badae utaniblesss!! Naimajini unavopambania kupata maji sikupatiiiii picha!😀
😀😀😀 Hongera sana dear Hapo kama nyoronyoro Lazima ukaeee! Kugombania maji si lelemamahatari tupu bosslady nishamaliza .
Leo nipo energetic kweli
nishazoea hali 😂😂
Sawa kipenziKwahapa sina ngoja baadae nikitupia nita kutag dear
hahaha umejuaje😀😀😀 Hongera sana dear Hapo kama nyoronyoro Lazima ukaeee! Kugombania maji si lelemama
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kabisaaa viishe tu ba Yolly Carrasco putin akome kutuchamba matambi na makomwe yetu 😁hahaha umejuaje
lazima ujue na kuongea pia .
vitambi vitatuisha mwaka huu .
Leo hujatupa msemoo wa maisha babuuu Shikamoo ✋!!View attachment 2406629
Tangu nimpe dalali mahindi yangu akaniuzie huko Mjini simu zake hazipatikani Wala hela hajanitumia.
Wacha nikajue huko huko 🤪
Hello Friday 🥂
humu wengi wamebadili id na avatar,sijui kwannSijui anatumia id gani saivi maana naona amebadili.
Habari ya saii mjedaa!! Kitambo sana rafiki !! Nakusalimu kwa jina la Selfika mimii!!humu wengi wamebadili id na avatar,sijui kwann
mambo mrembo,niko poa kbs,mambo yanaendaje, sabato ya leo unaanzia wapi?Habari ya saii mjedaa!! Kitambo sana rafiki !! Nakusalimu kwa jina la Selfika mimii!!
Ijumaa unaweza teka gaidiNikalale sasa naona leo mateka .,
Marahaba Mjukuu, huyu Dalali amefanya niwe ofresi 🤪Leo hujatupa msemoo wa maisha babuuu Shikamoo ✋!!
hahahahahaIjumaa unaweza teka gaidi
hahahaha,kwanza hakua mbebez wangu,pili siezi tambua petit anguNdio ushindwe kweli kumtambua mubebez wa zamaani anatumia id gani kwa sasa? mtu chake nitajie bana mkuu