cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,296
Ooooh hapo vizuri sanaaa.Nikiwa nyumbani ndo nakuwa hivyo
Napenda some alone time tu
hahaha naongea tu , napenda kuinteract pia ila si sana .
Ooooh hapo vizuri sanaaa.Nikiwa nyumbani ndo nakuwa hivyo
Napenda some alone time tu
hahaha naongea tu , napenda kuinteract pia ila si sana .
Tatizo binadamu ni wabishi sanaHata akinielewesha haitasaidia chochote![]()
Kanoute wa ulaya au wa Simba?
Mbona kanoute hapata number ata KMC kwa majogoro?
Sijaongelea AZAM
acheni kupamba mavi maua kanoute ni average player sana





usiwe unakurupuka nawee khaaah.Yanga hakuna kule wamejaa wanaojichubua tyuuh.kha kisa ???
Yanga huko je ?





Ndo maana nmeuliza au kuna member uku ni kanoute?usiwe unakurupuka nawee khaaah.
Hahahaa hapo labda atashawishika vizuri
Ni huyo huyo wa Simba, ila hatumuongelei wee unavowaza, na hata ikiwa hvyo mbna ni mchezaji bora sana.Ndo maana nmeuliza au kuna member uku ni kanoute?
Kwa vingine sana ila ubora wa uwanjani kwa tuliocheza mpira uyo ata kiwango changu kwakweli hafiki au nalo huamini nikupe mindanda yangu?Ni huyo huyo wa Simba, ila hatumuongelei wee unavowaza, na hata ikiwa hvyo mbna ni mchezaji bora sana.
hahahaha noma 😂😂Yanga hakuna kule wamejaa wanaojichubua tyuuh.![]()
Namuona aisee .
Kwa vingine sana ila ubora wa uwanjani kwa tuliocheza mpira uyo ata kiwango changu kwakweli hafiki au nalo huamini nikupe mindanda yangu?
Kwenye 6kwa 6 Anaweza perform vizuri





ndo nimecheka sanaaaa.hahah yeahkweli afu
Ndyooooh,Namuona aisee .
mtu na nusu
itakuwa unapenda watu wenye athletic body eeh




Aziz ki ule ulemavu, bas tyuuh hasira watu wanaamua kumdhihaki.hahah yeah
Ila wanavyomtania Aziz ki sio poa
Endelea kumuadmire huwezi jua future .Ndyooooh,
Kanouteee yaan navompenda bas tyuuh, cjui nisemeje.![]()
Yeah so sad 😔Aziz ki ule ulemavu, bas tyuuh hasira watu wanaamua kumdhihaki.
Yaan Jah afanye awezavyo tuwe Pa1, kanoutee na mu admire mnoo.Endelea kumuadmire huwezi jua future .