Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,815
- 10,702
Nambie mkuu
Nipo kibosileNambie mkuu
Leo mpaka saiv hujalala makubwa hayaNipo kibosile
nilale nina raha gani boss, kunguni leo wamecharukaLeo mpaka saiv hujalala makubwa haya
Kunguni au mwanachuo wa Aru anakupigisha story hapo ili weekend ukammalizie😒nilale nina raha gani boss, kunguni leo wamecharuka
njaaa plus kunguni pro max .. nahesabu visivyo hesabika.. mie mzazi mlezi tu wala siwafanyi kitu watoto wa first mwaka, nawafundisha tu excel😁😁Kunguni au mwanachuo wa Aru anakupigisha story hapo ili weekend ukammalizie😒
Aiseeeee hao wanaofundishwa wamepata bahatinjaaa plus kunguni pro max .. nahesabu visivyo hesabika.. mie mzazi mlezi tu wala siwafanyi kitu watoto wa first mwaka, nawafundisha tu excel😁😁
Haswaaaa, pindi plus maombi mlimani .. na bible study, wanamalizs semester one wapo vizuri sanaaAiseeeee hao wanaofundishwa wamepata bahati
Wanafundishwa na mtumishi wa Mungu. Najua wako mikono salama
Aiseeeeee😆😆😆we ni balaaHaswaaaa, pindi plus maombi mlimani .. na bible study, wanamalizs semester one wapo vizuri sanaa
Shetani kaish shindwa, nipo hapa nasubiri saa sita tuanze kumuangusha mfalme wa anga ... karibu tupige ngomeAiseeeeee😆😆😆we ni balaa
Haya kila la kheri mwamba katika hizo bible teachings shetani asije akakuvaa
Mkifika anga la tatu ndio utaniambia😆😆Shetani kaish shindwa, nipo hapa nasubiri saa sita tuanze kumuangusha mfalme wa anga ... karibu tupige ngome
😁😁😁😁 uje bwana siku moja, wakuone dada yaoMkifika anga la tatu ndio utaniambia😆😆
Hehehehehheheh umenichekesha😁😁😁😁 uje bwana siku moja, wakuone dada yao
Usiache basi, uandae na neno au kasomo hivi wapate faida ya dadaHehehehehheheh umenichekesha
Haya ntakuja siku mkiwa kwnye maombi
Mwana wa Mungu kesho, acha tuendelee na session ya maombi sasa saa sita tunafanya cross overHehehehehheheh umenichekesha
Haya ntakuja siku mkiwa kwnye maombi
We jamaa sikuweziUsiache basi, uandae na neno au kasomo hivi wapate faida ya dada
Shetani akizeeka anakua malaika type of person ndio wew huyoMwana wa Mungu kesho, acha tuendelee na session ya maombi sasa saa sita tunafanya cross over
nipo hapa nimemalizia neno sasa naingia kwenye maombi mazito, nitakuweka kwenye maombi yetu ya mnyororoShetani akizeeka anakua malaika type of person ndio wew huyo
Haya mtumishi ulale salama
Tuko pamoja ndugu mtumishinipo hapa nimemalizia neno sasa naingia kwenye maombi mazito, nitakuweka kwenye maombi yetu ya mnyororoView attachment 2406206