Kaka shemeji kwa hiyo unawachoraga tuu huko pm. Na picha zetu tunazomtumiaga mwanamke mwenzetu na wewe unazionaga?
Wale unaokulaga nao bata unawapost huku hawafai kwa matumizi ya ndoa?Natafuta mchumba wa kuoa
AimennLeo ni mwendo wa nenoView attachment 1259162
Ndio maana. Mshikirie sana. Ukija kwetu sisi wamasai utanyòka tuuAnipige makofi? Si ndio nitamwacha kweli.
Kaka shemeji huyu mume ananinyenyekea hataree![]()
Abeeee
HallelujahGood morning family.... morning rookooo
cute b mama p
Atoto shem darling
Mshana Jr aka mr liquid
mkwepu jr mr likes
Sakayo mama wa imani leo utupe neno
sanchez magoli hongera kwa kutulindia nchi imetulia
[USER=552140]Karma miss you..
Heaven Sent picha mama bado tunaisubiri....
Watu8 another mr like....
Shunie
Eli79 my bro heshima kwako.
Depay
Transcend ushatoka moshi??
sweet manka ile tungi ya jana unibakshie basi
Hawachi miss yo
Bint sayuni sant anne Bwana asifiwe
Zurri
Dada shemeji Hannah miss you
Class mate Youngblood unaendeleaje....
[USER=401770]Denvers
Ameeen...Hallelujah
HakikaNa huwa zina nguvu haswa
Mana kitendo cha kuacha usingizi wako na kuamua kupiga goti si kitu kidogo kabisa
Ni jumapili ingine tena tumebahatika kuiona! Tumshukuru Mungu kwa hiloAmeeen...
Tuanze na sadaka kwanzaHivi neno la leo utatuma au tutoe sadaka kwanza
Yeah...!Ni jumapili ingine tena tumebahatika kuiona! Tumshukuru Mungu kwa hilo
Sogea kibanda cha mpesa.Tuanze na sadaka kwanza