Selfika na JF: Snap it. Show it

Sijawahi enda tena, kwanza hata shoga sina 😂😂.
Nikitoka naenda tu mwenyewe sehemu ya kawaida .
Mimi aliniomba nimepeleke sehemu akaitajia jina la mtaa hakuniambia ni Kwa mtuwake alafu kwao ni gate Kali anaogopa kwenda mwenyew nikakubali kufika kumbe Kwa mpenz wake nae kuua Soo akasema nikae ndani nimsubir wanaongea tu chumba kimoja nimekaa kwenye kochi wao wamekaa mara wameshikana viuno mara kiss mara denda nikaona 😂😂adabu hawana nikaomba kwenda chooni 😂😂
 
hehehehe hao jamani sio poa
ndo nini kufanya hivyo mbele zako aisee . si wangekuambia uende tu .

hukumsema huyo rafiki yako ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…