Selfika na JF: Snap it. Show it

Balaaa πŸ˜‚πŸ˜‚
siku tulienda wawili na yeye plus boyfriend wake hapo Mlimani city

tuliagiza masato , baadae shoga anatauambia bill imekuja kubwa.
yeye mwenzetu aliagiza chips sausage πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi naonaga aibu balaa πŸ˜‚mnakuwaga comfortable kabisa Kuna rafikyng alinifanyiaga tukio πŸ˜‚
 
Balaaa [emoji23][emoji23]
siku tulienda wawili na yeye plus boyfriend wake hapo Mlimani city

tuliagiza masato , baadae shoga anatauambia bill imekuja kubwa.
yeye mwenzetu aliagiza chips sausage [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakufa mbavu cnaaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu kuna uzi jana jukwaa la Tech, wallaah nilichoka, watu wanalia ajira huko.

Na mie ilinigusa. Mweeeh.
Mie nipo mjini, maliza alafu uje ukae home utapa tu kazi tyuuu, tena na hivi mama anafungua nchii..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu kuna uzi jana jukwaa la Tech, wallaah nilichoka, watu wanalia ajira huko.

Na mie ilinigusa. Mweeeh.
kuna mtu ana G.P.A ya 4.6 ana angaika kupata kazi hapa, wakati na mie nina 2.7 namtazama tyuuu
 
Mimi naonaga aibu balaa [emoji23]mnakuwaga comfortable kabisa Kuna rafikyng alinifanyiaga tukio [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aliwapiga 3somes??? Eti shangaziiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…