Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndio maana nime hamia ARU.. kuna ka dogo kake na Depal acha nifanye leo lokoo mida yangu.. next week naenda TIA kufundisha kozi za kijamii nitaleta mrejesho
🀣🀣🀣🀣 kudadeq nitakubondaaa

Kenyewe kwanza kapo kuangahika anatafuta hostel za ndani..

cocastic eti hostel za Makongo ndio wapi? Kwa wanafunzi wa Ardhi?
 
nimecheka hadi machoziiiiii, dents wa chuo ndo zao hizo.
hehhe sikuwa chuo nilikuwa o level πŸ˜‚πŸ˜‚
rafiki yangu alikuwa mpana huyo , tukitoka tuition namsindikiza kwa boyfriend wake
 
🀣🀣🀣🀣 kudadeq nitakubondaaa

Kenyewe kwanza kapo kuangahika anatafuta hostel za ndani..

cocastic eti hostel za Makongo ndio wapi? Kwa wanafunzi wa Ardhi?
kape namba yangu basi, maana mie mwenye nipo hapa.. nitaangalia ubini kama ukichomoa, maana najua kwenye kusaka hostel kataangukia mkononi mwa mlezi mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…