Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Oyaa msela [emoji2321]

Nani alikuficha[emoji2297]

Utakuwa umerudi umenawiri[emoji1787][emoji2089]

Swali je mimba imeingia[emoji848]
Eeeeh janjaa nimerudi na nimenawiri haswaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimba iko hapa natafuna embe mbichi, udongo, mate natema mda wote.

Sikufichwaaa na mtuuu, nlikua tu nakula good time.
 
Back
Top Bottom