Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndugu zangu hamjamboo[emoji112]
giphy.gif
 
Kuna mtu anakutongoza then ukimuangalia unasema moyoni huyu ni big no , ndo wamwambia hapo Kaka I'm taken , ili asikusumbue kumkubalia .

Ila akija mkaka , unayempenda unaweza zuga siku kadhaa halfu Mambo yakatiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear nimecheka km chizi wallah.
 
pokea mtongozo huu [emoji23][emoji23]

We’ve been friends a while now, and I find myself really drawn in to you.

There’s just something that can’t be put precisely into words, but I feel like I love you.

Not just as a friend, but I love you because we are such good friends. [emoji7][emoji7]
Tatizo lugha dear, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mambo haya mawili nimekuomba; Usininyime [matatu] kabla sijafa. Uniondolee ubatili na uongo; Usinipe umaskini wala utajiri; Unilishe chakula kilicho kadiri yangu. Nisije nikashiba nikakukana, Nikasema, BWANA ni nani? Wala nisiwe maskini sana nikaiba, Na kulitaja bure jina la Mungu wangu.
 
Kumekuchaaaaaaa!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom