Alayna wangu alinizuia alisema nisipost vocha tena🙊Kwanza boss vipi mpango wa vocha ume expire?? Sikuelew.
Ndo umefilisika??? Sitakiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alayna wangu alinizuia alisema nisipost vocha tena🙊Kwanza boss vipi mpango wa vocha ume expire?? Sikuelew.
Ndo umefilisika??? Sitakiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuja aunt usijaliShangaziiiiiii nimekumic mnooooo, hebu nipe selfie yako bas, nifeel bettah
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Mchumba,, nilikutariki kwa taraka rejea [emoji16][emoji16]Mchumbaaaa nipooo, wee c umenipiga kibuti?? [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Aunt yangu mrembo mwenye lips za dhahabu😍😘
😍Asante auntAunt yangu mrembo mwenye lips za dhahabu😍😘
Hilo jicho aunt ni hataari
Aunt yangu hiyo camera imesingiziwa tuu😍Asante aunt
Japo camera inanibeba aunt
Mnyamaaaaa
Si useme tu umenimiss
Nimekumiss hadi naumwaa hata didi yako anajua hilo😁Si useme tu umenimiss
Sasa je
Salama kabisa mkuu...jirani hajambo
Nitumie vocha kama kweli umenimissNimekumiss hadi naumwaa hata didi yako anajua hilo😁
Selfika basi mrembo
Haha, ukorofi huo.Au niandike Arsenye...kama wanavyowaita akina Putin [emoji23]
Vipi tayariiii shangaziiiiii??Nakuja aunt usijali
Wee babuuuh c unajifanya uko buzzy sana, hebu weka zako bas babuuu.Mjukuu siku hizi hutaki za babuh?