cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,597
- 188,639
Mchumbaaa sitakiiiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchumba,, nilikutariki kwa taraka rejea [emoji16][emoji16]
Mchumbaaa sitakiiiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchumba,, nilikutariki kwa taraka rejea [emoji16][emoji16]
Hebu irudiweeeee!!!Aunt yangu mrembo mwenye lips za dhahabu[emoji7][emoji8]
Hilo jicho aunt ni hataari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babu umechachuka mnooooMnamjua huyu member?![]()
Simba oyee 😍😍Saint Anne cc huu mwaka nitanenepa vibayaaa.
City na Simba zinanipa raha mnooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shangaz nimekuita hukuwepoVipi tayariiii shangaziiiiii??
Sijui tumekwama wapi hii mechi Ilikuwa ya kufunga goli 8😂😂
WoyeeeeeeeeeehSimba oyee [emoji7][emoji7]
Keshooooo.Shangaz nimekuita hukuwepo
Mrembo umependeza hilo jicho ulivyo legeza hakika umeumbwa ukaumbika [emoji39][emoji39][emoji7][emoji7]View attachment 2401670[emoji2][emoji2]
hakuna raha 😂😂Hivi mnalala mpka sshv mna raha gani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Marahaba mjukuu.Shikamoo Babu Shimba ya Buyenze
Thank you ,Marahaba mjukuu.
Hujambo?
Asante kwa kunikumbuka. Real appreciate it mjukuu wangu ❤️
Ujambo ww mrembohakuna raha [emoji23][emoji23]
Morning , baba yolly yolly