Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
hapana chezea simu ya bebeYaani katika vitu siwezi basi ni kutopokea simu ya bebii
Navyoisubirigi kwa hamu 😂 😂
Ila ndio nikipokea nakuwa nimekasiriiiika..nimefura hasiraaa
naye kuna sauti akiisikiaga tu anajua huyu mtoto amekasirika.
Hapo likijiongeza tu kidogo basi.
ikiita unajisikia hali fulani hivi ..unakuwa super excited .
hahaha kumbe kuna hadi sauti ya kununa ngoja nichukue notes , nije kumfanyia mtu fulani 😂😂 .